Recent content by dorge

  1. dorge

    Natamani wananchi wote turudishe kadi za vyama vya siasa. Kusiwe na chama

    Wewe lazima utakuwa matacle
  2. dorge

    Natamani wananchi wote turudishe kadi za vyama vya siasa. Kusiwe na chama

    Wee jamaa lazima utakuwa na matatizo
  3. dorge

    Unahitaji kuwa makini sana kumtoa mbu aliyetua kwenye korodani zako

    Mpaka mbu afike kwenye korodani ilikuwa wapi.
  4. dorge

    Polisi na Jeshi kuonekana mtaani na vituoni, baadhi ya maeneo kuna gari za maji washawasha, kuna nini?

    Polisi na jeshi kuonekana mtaani na vituoni baadhi ya maeneo kuna gari za maji washawasha kuna nini? Kama kuna anayejua hili jambo nielewesheni maana hatujazoea vita au virugu.
  5. dorge

    Mwanamfalme wa Norway ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji na unyanyasaji

    Hizi Familia za kifalme Miaka 10 iliyopita zimekuwa na heshima kubwa katika jamii nchini Norway. Walikuwa wakipanda public transport na walijichanganya hata kulipia nauli na kukaa na raia tatizo hawa walisaini mikataba ya ushoga miaka mingi. Watoto kama huyo wanaharibika vby sana. Miaka zaid 10...
  6. dorge

    Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela

    Kuhusu kuibiwa kariakoo niliibiwa mwaka 2000 nikiwa nimevaa kaputula wakachojian2000 yangu, muliize mtu miaka hiyo 2000 ilikuwa na thamani kias gani, nilipagawa nilipagawa
  7. dorge

    Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela

    Hapana bro pana kera sana, utakuta gari imeziba mtaa, ikiwhusha mzigo, yaan kama sio boda wenfine kariakoo tusingegusa, ajabu mtu anapaki boda njiani. Huwez pita. Ukiachulia mbali uchafu wa mitaa, ina msongamano.wa hatari
  8. dorge

    Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela

    Yaani mkuu MNH siww elezea nenda saa Moja jioni karume
  9. dorge

    Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela

    Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela ila ni sehemu hatari ,is like hell,Haina usalama kiafya,kiuhai kikila kitu. Yaani kama ndio sehemu tunajivunia! We are done. Leo nikiwa naungaunga daladala kikaishia buguruni, nikaunga tena daladala lingine la mnazi, nikashuka karume...
  10. dorge

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kuna siku si za bahati yaani nikalia jani
Back
Top Bottom