Recent content by dorcas_eliud

  1. D

    JamiiForums Tanzania Karibu ununue simu nzuri kwa bei nafuu Warrant mwaka mzima

    Tunauza simu aina ya vivo kuanzia tsh 549,000 hadi 269,000/= Tupo duka la splash city mall - Dar es Salaam mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Service center ipo china plaza Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania MAFUTA YA NAZI (VIRGIN COCONUT OIL)

    Habari wana jf, Natafuta soko la mafuta ya nazi (virgin coconut oil) Nipo dar es salaam_tanzania 0692942719
  3. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi

    Ni jinsi mteja atakavyotaka iwe shamba nzima au kwa heka au nusu ndipo tutakapoongea bei iliyopo sokoni
  4. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi

    Habari wana jf Nimelima mahindi heka 2 bagamoyo uelekeo wa mlandizi sehemu inaitwa cha simba... Kama unahitaji basi tuwasiliane 0692942719 ili tuweze kuongea biashara
  5. D

    JamiiForums Tanzania ajira za walimu kisando english medium

    @princemhando Kwani bro si shule ya private hyo sa masomo si ndo yale yale ... Hasa kwa walimu wa arts maana science ndo mtihani mzito.. Kma malipo simtawalipa sawa na mifuko yenu msibanie kazi hizo tupeni nafasi jmn
  6. D

    JamiiForums Tanzania ajira za walimu kisando english medium

    Mkuu tumtuma maombi tayari. Shida hatujui siku ya usahili lini ili tukiona kimya tujue hatujapita
  7. D

    JamiiForums Tanzania Vioo vya Transparent

    Nitaakudanganya kusema size kwa macho unaweza ona kama upo serious njoo uone bro hyo bei ni ya kutupa
  8. D

    JamiiForums Tanzania Vioo vya Transparent

    Habari wana jf.. Nauza vioo vya Transparent Kwa sh 600,000/= Vipo dar es salaam -mbezi beach 0712-718228
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nauza Mpunga

    Habari wana jf Nauza mpunga wangu ambao natarajia kuvuna jumapili hii... Kama unahitaji tuwasiliane 0712718228
  10. D

    JamiiForums Tanzania Linakodishwa banda

    Banda la mkaa linakodishwa Eneo liliopo ni Kunduchi beach (mtongani) Biashara ni ya kuaminika kabisa Unaweza kuja kuona eneo lenyewe pia Malipo ni kwa miezi mitatu au sita Sh 30000 mwenzi mmoja.... Kwa mawasiliano nipigie 0692_942719 Karibu sana... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    JamiiForums Tanzania Banda la mkaa

    Banda la mkaa linakodishwa Eneo liliopo ni Kunduchi beach (mtongani) Biashara ni ya kuaminika kabisa Unaweza kuja kuona eneo lenyewe pia Malipo ni kwa miezi mitatu au sita Sh 30000 mwenzi mmoja.... Kwa mawasiliano nipigie 0692_942719 Karibu sana... Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    JamiiForums Tanzania Oteas

    Hapana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    JamiiForums Tanzania Oteas

    Habari wana jf Msaada kama kuna mtu kaweza kuapply ajira ya ualimu oteas maana mimi tokea jana ina load tu haifunguki kabisa.... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom