Recent content by Dorah87

  1. D

    JamiiForums Tanzania Application za bodi ya mikopo (HESLB)

    Duh an
  2. D

    JamiiForums Tanzania Application za bodi ya mikopo (HESLB)

    Tangu jtano ya wiki ulopita Yan siwez tengeneza account Mara naambiwa nisha register wakat mm sikutengeneza account na Wala password sikujaza na sikuletewa password ya kuweka sielew nafanyaje kutengeneza account
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada katika kuomba mkopo 2023

    Nisaidie mm ntakucheki tsap maana siwaelew an board ya mkopo
  4. D

    JamiiForums Tanzania Application za bodi ya mikopo (HESLB)

    Umefanyaje kucreate account maana mm nimeletewa control number nikalipa kumbe sjatengeneza account Sasa nikitaka kuingia inagoma an maana hata sehem ya kuletewa password sikuletewa nijaze
  5. D

    JamiiForums Tanzania Application za bodi ya mikopo (HESLB)

    Hata mm imenigomea an nmeweka namba ya form 4 nikaletewa sehem ya kujaza email na namba ya simu halafu nikaletewa control number nilivolipia tu nataka kuendelea nikiingia naambiwa no active account found siwez kuendelea na step nyingne yoyote nimepiga lakn hawapokei😥😥
  6. D

    JamiiForums Tanzania First year kusajiliwa chuoni ni lazima uwe na Cheti original cha form 4 au hata copy yake

    Habar Wana jf, Kwa wenye ufahamu zaidi kuhusu hili je unaweza kusajiliwa chuon Kama una copy ya Chet Cha form four kwa mtu aliyepotelewa na Chet original au haiwezekan mpk Chet chenyewe ndo unasajiliwa nasemmea kwa first year wakat wa kuliport chuon
  7. D

    JamiiForums Tanzania Jamani inawezekana vipi nikachaguliwa chuo ambacho sikukiomba

    Yan acha tu sema kikubwa Ni kurudia kwa vyuo unavovitaka make mm nimerudia nimepata
  8. D

    JamiiForums Tanzania Jamani inawezekana vipi nikachaguliwa chuo ambacho sikukiomba

    Mrejesho Ni kwamba namshukuru mungu mechaguliwa drsha la pili
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya Mechanical Engineering na Agricultural Engineering nithibitishe kusoma ipi?

    Kwan selection za Leo zishatoka tiar?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Jamani inawezekana vipi nikachaguliwa chuo ambacho sikukiomba

    Me niliona Bora kuwabiwa ku cancel make siwez enda chuo ambacho sikitaki ngoja nisubilie majibu kwanza
  11. D

    JamiiForums Tanzania Jamani inawezekana vipi nikachaguliwa chuo ambacho sikukiomba

    Coz siitaki niliyochaguliwa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Jamani inawezekana vipi nikachaguliwa chuo ambacho sikukiomba

    Jamani inawezekana vipi nikachaguliwa chuo ambacho sikukiomba Yan nilichaguliwa chuo Cha Kampala dirisha la kwanza na mimi sijawahi kukuomba hiki chuo niliomba udsm ,ardh na mzumbe lakini sikuchaguliwa. Nilirudia dirisha la pili tena ndo nasubilia matokeo Sasa Leo napigiwa na chuo Cha Kampala...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa chuo Cha mzumbe

    Baada ya tarh 19 linatoka
Back
Top Bottom