Recent content by dora

  1. D

    JamiiForums Tanzania Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

    Sawa kabisa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

    Visa ya Marekani ni multiple entry, kama ni ya mwaka mmoja unaweza kwenda n kurudi multiple times bila shida yoyote kabla hip mwaka haujaisha.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania Fadhili na Ibrahim kuwania Tsh. Bilioni 2.4 katika Fainali za America's Got Talent

    Bahati mbaya muda wa kupiga kura umekwisha
  4. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania Fadhili na Ibrahim kuwania Tsh. Bilioni 2.4 katika Fainali za America's Got Talent

    https://agt.vote.nbc.com/
  5. D

    JamiiForums Tanzania Collaboration kali zilizowahi kusumbua Bongo

    Christian Bella ft. Ommy Dimpoz - Nani kama mama
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mjue James Hardley Chase, Mwandishi maarufu wa Vitabu vya Riwaya

    Sikumbuki kusoma novel za Chase, wacha nizitafute. Binafsi nampenda John Grisham; nimesoma novel zake karibia zote.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Sijawahi Kuona Hii Kitu kwa Mfiwa, Anayejua Ina Maana Gani?

    Wangeweka msiba nje, kwenye mzunguko mkubwa wa hewa. Mfiwa naye akae nje kwenye sehemu aliyoandaliwa, akichoka anarudi ndani kupumzika.
  8. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    RIP le mutuz
  9. D

    JamiiForums Tanzania Burger mitaa ya Posta

    I agree, zile burgers zilikuwa nzuri sana. Ilikuwa opposite na jengo la Extelecoms kwa nyuma
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

    Boda boda ni chinja chinja. Shime wandugu, kama unaweza tumia usafiri mwingine please tumia ili kuepusha majanga.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

    Hapo ndio penye tatizo. Mavazi hayakuwa ya heshima.
  12. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

    Apumzike kwa amani mzee wetu Basil Pesambili Mramba. Poleni sana wana familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tunapopoteza Matajiri 5 ndani ya wiki 1

    Ndio inabidi uendelee kuchukua tahadhari, usidhani uko salama. Maana hata chango haikupi kinga kwa asilimia 100.
Back
Top Bottom