Recent content by Doppelganger

  1. Doppelganger

    Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

    Back then kabla sijaoa, tulitamaniana na dada mmoja ambaye alikuwa ndio kaanza ajira mpya, akiwa amepanga maeneo ya sinza kwa Remy. Wakati wote tulikuwa tunakutana kwenye kituo cha daladala sinza kwa remy, labda yeye akiwa anashuka kwenye gari au ndio anapanda kuondoka. Siku hiyo, nikasema na...
  2. Doppelganger

    Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

    Na muendelee kutazamwa sana mnaporudi. Wengi wanarudigi na shahada za kubumba tu.
  3. Doppelganger

    Nimeangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali

    Ukiendelea na hiyo tabia, basi tegemea Kipondo na Kitombo siku moja.
  4. Doppelganger

    Hii imekaaje kwa wanandoa?

    Sema nini, ume-sound ki-mama na kimahaba sana![emoji8] Tunatakaga kufatwa sebuleni kwenda chumbani, tukijileta wenyewe ndio tunakuwa kijeshi-jeshi!!
  5. Doppelganger

    Hii imekaaje kwa wanandoa?

    Kitu inasimama muda wote itakao sasa.
  6. Doppelganger

    Naomba kujuzwa kuhusu utoaji notice kwa wenye nyumba

    Jukumu lako ni kulipa kodi tu, tena kwa wakati. Kabla hujapewa Notisi, ni wajibu na uungwana ukaeleze sababu kwanini umechelewa kutekeleza wajibu wako wa kimkataba/makubaliano na ikiwezekana uhaidi kutekeleza jukumu lako hilo. Kuchelewa kulipa Kodi hakuwezi kutumika kama sababu/an indirect...
  7. Doppelganger

    Unampa Tsh ngapi mkeo kwa ajili ya matumizi yake binafsi?

    Hapana. Yule nilipiga chini. Nilioa. Kwa huyu nina 3 kids hapa.
  8. Doppelganger

    Hivi kuna wanandoa ambao hawachepuki kabisa?

    Wapo, baadhi ya wale wenye ndoa za kipindi cha miezi 6 tu...[emoji2]
  9. Doppelganger

    Unampa Tsh ngapi mkeo kwa ajili ya matumizi yake binafsi?

    Kiwango cha chini; Kila siku 10k (Naacha home), Kila wiki nampa 50k (for Fuel), Kila mwisho wa mwezi 300k (Mahitaji ya home na yake Binafsi). Chakula na bills nalipa mimi. Fair!!!
  10. Doppelganger

    Watu wanaoweza kumla Mwanamke wako bure kabisa

    Kama vile unavyoweza kuwala wafuatao bure: -Beki 3 -Wauza Mboga -Rafiki wa Gf/Mke -Binamu -Jirani -Sekretari -Ex -Maids
  11. Doppelganger

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Zamaani sana nikiwa bado naishi na wazazi home. Nilikuwa na majukumu ya kuhakikisha kuku wameingia bandani, nawafungia halafu nafungulia na kulisha mbwa. Siku hiyo, nikiwa nahesabu kuku bandani, akaja mke wa mpangaji wetu (kabinti kadogo dogo) kalikuwa kananichekeaga chekeaga siku za awali...
  12. Doppelganger

    Kikao cha dharura: Kwa wanaume tulio kwenye ndoa mbinu za kukabiliana na wanaowataka wake zetu

    Nadhani tatizo huanzia kwa mke mwenyewe na sio jamaa wa nje. Vema kutazama mapungufu ya ndani kabla ya kuwatazama wazengeaji. Unakuta mke ndio anang'ang'aniza kabisa kuliwa tena unakuta mke ndiye analipia hadi na gharama za kulana. Iliwahi kunitokea, tuluenda msibani (mkoani), tulipofikia...
  13. Doppelganger

    Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Meseji ulizokuta hazikulengwa kwako, ndio maana umeishia kuumia. Yeye aliziona na hakuyumba kukupenda. Acha kusoma msg za mwenzako, vema mwambie awe anakuhadithia tu[emoji1] Wake wengi wao wanabwetekaga ndoani, wanajikuta wanataka kuwamiliki waume, sio hivyo!! Sio kwamba tunapo-cheat huwa...
  14. Doppelganger

    Nimemwachia mali zote, naanza upya

    Pole sana. Ila fanya maamuzi sahihi...nina uncle wangu mmoja aliwahi mwacha mke wake na maliza zake zote, akaondoka na nguo alizovaa tu. Hajawahi kutoboa tena zile levels alizokuwa nazo mpaka leo.
Back
Top Bottom