Recent content by donor

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Ahsante Mwenyekiti,naomba kikao Cha mwezi wa kumi katibu awasilisho maazimio ya kikao kilichopita pamoja na utekelezaji wake, ambaye atashindwa KUSHIRIKI katika kikao hicho mawazo yake yatawasilishwa na wengine
  2. D

  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Kwa akili yako unafikili utapata mwanaume mwingine ambaye hachepuki?
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri gani ambao ulishawahi kupewa na Mzazi wako kuhusu mahusiano?

    Aliniambia nisioe kabila Fulani la Kanda ya Kaskazini, nisioe pia mwanamke aliyenizidi elimu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wadada na wizi ni pete na kidole?

    Naloli
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wengi waliofikia umri wa kuolewa na hawajaolewa kwa asilimia kubwa wako frustrated ni warahisi sana kukasirika

    Hahaha hao watu ni shida ni watu wa kulalamika sana na kujifanya wanayajua Sana mahusiano
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kwa mahusiano ya kuelekea ndoa

    Sijaokoka ila naamini katika dini
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kwa mahusiano ya kuelekea ndoa

    Ni Mwanaume wa miaka 29, mwajiriwa serikalini. Nahitaji mwanamke seriously kwa mahusiano ya kuelekea ndoa, awe na umri 23 hadi 27, mkristo ama awe tayar kubadili dini, asiwe na mtoto coz mwenyew sina. Karbuni
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upepo wa mabinti kuwa single mama kwa lazima

    alafu Nina zawadi yako
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upepo wa mabinti kuwa single mama kwa lazima

    Waoaji tupo
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wana visanga!

    B Bibie
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

    Hahaha ili swala lishatolewa ufafanuzi mwingi Sana humu.
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba kuharibu Sifa kwa wazazi wangu hata kabla sijamtambulisha?

    Yaani mkuu unaamini kitu usichokua na uhakika nacho, unaamini vipi amebemendwa Wala ujataka kufikiria magonjwa mengine. Have a logical reasoning
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wazuri wengi wamezalishwa na wako nyumbani kwao, au kuna kampeni maalum ya kuwapachika mimba na kuwatema?

    Daah mkuu umenigusa, Kuna manzi nimekutana naye ni mkali balaaa ila ndo ivyo wahuni walishafanya Mambo, Namuacha kishingo upande
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Pamoja mzee
Back
Top Bottom