Recent content by DONIZ

  1. D

    JamiiForums Tanzania Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

    2002
  2. D

    JamiiForums Tanzania Manchester United kilichobaki ni kuifunga Chelsea goli 4

    Wiki hii woman united akifungwa tunamwokotea top 3 za kushuka daraja. Maana timi hizo kazizid point moja hadi tatu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Liverpool hawezi kumfunga Manchester United hata iwe mbovu

    Kala furgason 4 OT akiwa naforwad zake kama cr7 atakuwa ole
  4. D

    JamiiForums Tanzania Liverpool hawezi kumfunga Manchester United hata iwe mbovu

    Hawakumbuki ukiwasikia wanaongelea matokeo ya van gaal
  5. D

    JamiiForums Tanzania Liverpool hawezi kumfunga Manchester United hata iwe mbovu

    Yaan mashabiki wa man u wamebakiza historia hakumbuki msimu uliopita kapigwa na liver. Haya hivyo na historia nayenyewe haiwabebi hawakumbuki kuwa man kipigwa na na liver hadi kubadili jina la klab kutoka newton health fc kuwa man u
  6. D

    JamiiForums Tanzania Chagua Watatu Bora Kuwahi Kuvaa Jezi Namba 10

    Weekweli inaonekana umeanza kuangalia mpira siku za karibuni kwani wakati gaucho akicheza barca messi alikuwa hayupo barca
  7. D

    JamiiForums Tanzania Chagua Watatu Bora Kuwahi Kuvaa Jezi Namba 10

    Zidane Gaucho Okocha
  8. D

    JamiiForums Tanzania Makombe yajayo ya EPL bado yapo mikononi mwa Guardiola

    Huyu shetani kila ataetaka kumgonga anagonga hawa jogoo si watapiga nyingi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Makombe yajayo ya EPL bado yapo mikononi mwa Guardiola

    Huyo pep anatakiwa apambane kuchukua UEFA kuhusu EPL hiyo naona klop anamachungu nayo sana msimu huu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya man city, tuwaache tu liverpool

    Naona mpinzani wa liver kileleni atakuwa asernal anapanda kwa kas
  11. D

    JamiiForums Tanzania Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park

    Labda leo ole anaweza pata sare
  12. D

    JamiiForums Tanzania UTV - Liverpool Vs Leicester

    Labda wanatafsiri
  13. D

    JamiiForums Tanzania Makocha wa muda ( Interim Managers ) kama Ole Gunnar Solskjaer wasipewe mikataba ya kudumu

    Apewe muda hata wa misimu miwil ..........tumu kama hiyo mashetani hata akipewa malaika haiwezi
  14. D

    JamiiForums Tanzania Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

    Ni kiongoz anayejiamin,
Back
Top Bottom