Recent content by donimuya

  1. donimuya

    Watoto wa rais Magufuli na Edward Lowassa, ni wadaiwa Sugu wa bodi ya mkopo elimu ya juu

    HUU MKOPO ALIPEWA KWA KIGEZO GANI Je mkopo wake ulikuwa wa daraja gani? kama mtoto wa waziri alipewa mkopo, kwa nini basi tuwanyanyase watoto wa walala hoi kwa kuwanyima mikopo. HIVI VIIGIZO TUTAACHA LINI? Mara kalisha watu sambusa mara mke kulazwa hospitali ya umma kuwa stori kubwa wakati...
  2. donimuya

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    DR MWAKYEMBE eti anadai kuwa JAKAYA ni muadilifu sana, lakini anajichanganya eti siku nchi hii ikipata kiongozi muadilifu watafufua kesi. Tumia akili ndogo tu utafahamu kuwa hadithi zake ni uzushi tupu. LOWASSA alipokuwa anajiuzuru alisema wazi kuwa tatizo ni UWAZIRI MKUU, kwa kauli hii tu...
  3. donimuya

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    UFISADI NA RUSHWA ULIOSHINDIKANA NA CCM SASA BASI Kina polepole waseme watakavyo hawawezi kutubadili mawazo eti kisa mmepewa vijisenti. TUTACHAGUA UKAWA HATA KAMA WATALISIMAMISHA JIWE. Tumechoka na wasomi wachumia tumbo. ITS TIME FOR CHANGE CCM lazima ing'oke.
  4. donimuya

    Nina kadi ya CCM lakini wananiita CHADEMA

    Jana katika stori na rafiki yangu, alikuwa akilalamika eti. Kila wazo ninalotoa wanaseme hata siyo bure huyu CHADEMA/UKAWA. Wanafunzi wanachangishwa madawati kila mmoja 80,000/= lakini hayanunuliwi ukishauri basi kila mtoto aje na dawati badala ya fedha utasikia ah huyu CHADEMA. Maabara...
  5. donimuya

    Nitakuwa punguani kama nitamchukia lowasa eti fisadi

    Kwa muda mrefu nimetafakari sana kuhusu UFISADI hapa nchini kuanzia ngazi za chini hadi za kitaifa. ufisadi wa kuiba fedha za maabala, barabara, dawa hadi ule wa ESCROW, EPA nk. WATOTO wa vigogo wamekuwa matajiri wakubwa ktk umri mdogo, UTAJIRI usiolingana na vipato vyao kwa watendaji...
  6. donimuya

    UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    CCM na mpambe wake ACT wanataka kuwaingiza UKAWA kwenye kitanzi, huu sio wakati wa kumpatia mwanachama yeyote mpya nafasi ya kugombea URAIS. UKAWA wanachama wapya wakae kwanza kwenye chama kwa muda fulani kabla hawajaruhusiwa kugombea uongozi kupitia chama husika
  7. donimuya

    Uongozi wa UKAWA 2015 utakuwa hivi

    UKAWA MTAKAPOTULETEA MGOMBEA WA URAIS MTUELEZE NA JINSI MTAKAVYOGAWANA WIZARA NA SEKTA ZOTE MUHIMU 1) Rais na makamu.............................. 2) waziri mkuu....................................... 3) Mwanasheria mkuu......................... 4) Waziri/naibu wa fedha...
  8. donimuya

    GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Ninawapongeza CCM kwq kiini macho hichi, mafisadi wako salama chini ya Mwalimu J P Magufuri. Kutokana na uwelewa mdogo wa watanzania wengi ni rahisi sana kuwateka akili zao kwa kuficha uchafu wa ccm kwa kivuli cha Mwl. J. P. MAGUFULI Mfumo wa kifisadi ulivyo ndani ya ccm hata kama rais...
  9. donimuya

    Uwiano mzuri wa wabunge utatusaidia sana

    Mh Kafurila: "Natamani BUNGE lijalo liwe na idadi inayowiana kati ya chama tawala na upinzani hata kama chama tawala kitatokana na ukawa". Kwanza nakubaliana na wote wenye mtazamo kama huo, kwa hali ya nchi yetu kwa sasa taasisi ya RAIS imeshindwa kusimamia nchi yetu kwa vile ama imewekwa kwa...
  10. donimuya

    Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

    “Asante sana Naibu Spika, naomba nitoe maelezo binafsi jana tarehe 25 June 2015, Mbunge Martha Mlata alidai kuwa kuna Mbunge wa CHADEMA amempora mwanamke mmoja mtoto mdogo wa miaka miwili na amempora wakati Mbunge huyo amekuwa hatoi matunzo kwa mama yake… Mlata aliwataka Wabunge wote...
  11. donimuya

    Tanzania BRN vs Malayasia BFR

    Tanzania BRN VS Malayasia BFR FAIL - PASS BFR ni mpango wa serikali ya Malayasia wa matokeo makubwa ya haraka uliowekwa ili kuwezesha kauli mbiu ya Waziri mkuu Dato' Sri Mohd Najib Bin Tun Haji Abdul Razak ya "WATU KWANZA, UTENDAJI SASA" VIPAUMBELE VYA...
  12. donimuya

    Mbunge wako ametimiza wajibu wake?

    Nadhani watu tunachanganya kati ya kazi ya mbunge na serikali; serikali ndio yenye pesa, mbunge ni mwakilishi wa wananchi kazi yake ni kuisimamia serikali kwa kusema nini wananchi wake wanataka au kusema pale serikali inapokosea nk.
  13. donimuya

    Mbunge wako ametimiza wajibu wake?

    KAZI ZA MBUNGE 1) Kuwawakilisha wananchi 2) Kutunga sheria 3) Kuisimamia Serikali MBUNGE WAKO AMEFANYA HIVYO Mimi kwangu Morogoro mjini. Wana morogoro tujiulize je ABOOD ametuwakilisha vizuri BUNGENI na kwenye vikao vya MADIWANI kwa kuchangia kutunga sheria nzuri zitakazotetea maslahi...
  14. donimuya

    Tanzania ni taifa la watafuta pesa sio wazalishaji mali ndio chanzo cha kushuka thamani ya shilingi

    Mkuu dudus yote haya ni matokeo ya kukosa Siasa safi na Uongozi bora.
  15. donimuya

    Tanzania ni taifa la watafuta pesa sio wazalishaji mali ndio chanzo cha kushuka thamani ya shilingi

    Tunahitaji Usimamizi mzuri wa uwekezaji ili tuweze kuzalisha bidhaa zetu wenyewe badala ya kila kitu kuagiza nje ya nchi. kutasaidia kuimalisha thamani ya shilingi yetu. Tuache kuwa tegemezi wa fikra na mali, tuboresha teknolojia, utafiti na uzalishaji wetu wa ndani.
Back
Top Bottom