forking, pull requests and issues are the core of github and open source world. Those features i think are really helpful for coders to learn from one another. For example suppose you have a project there, i can fork it and play with it right away, i can request features by opening issues, i can...
ok, naamini watanisikia, kama mtu yoyote yupo github ama stackoverflow naomba anitumie jina lake analotumia humo niweze kujifunza na mimi wanavyofanya projects na wanavyouliza maswali.
"Your WhatsApp account can only be verified with one number, on one device. If you have a dual SIM phone, please note that you still must choose one number to verify with WhatsApp. There is no option to have a WhatsApp account with two phone numbers.
If you attempt to frequently switch your...
Habari wanajf, nauliza kama kuna computer programmer yoyote humu, ili tuweze kuzungumza mawili matatu? mimi sio computer programmer bali bado nipo katika hatua za awali kabisa kufikia hilo, kwa hiyo nikaona sio mbaya niongee na wakubwa naweza kupata lolote litakalo nisaidia ili nami nifike huko...
Habari wanaJF, naomba kama kuna mtu anajua chochote mchakato wa kujiunga na masomo ya certificate ya University of Dar es salaam School of journalism anielekeze. Ada ni shs ngapi? na masomo yanaanza tarehe ngapi? na jinsi ya kujiunga na kupata hizo fomu. Nimejaribu kwenda kwenye website yao...
Habari wanajamii, hili ni chapisho langu la kwanza hapa na nimeona nianze kwa ka swali kadogo tu, Je ni Mtanzani gani ambaye anakuvutia sana kimafanikio na kwanini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.