Recent content by doni doni

  1. D

    CCM Mpeni Ukweli Magufuli, Ajiandae Kisaikolojia

    Kweli nimeamini ule msemo kila kitu kinamwisho wake na huu ndomwisho wa cc dar mpaka inatia huruma jamani pole cna kufuli
  2. D

    Naanza kuona dalili ya serikali ya mseto

    We kiwavi bado uko nyuma na wakati achana na propaganda za za maji taka.
  3. D

    CCM waumbuka Uwanja wa Taifa, Makamba akumbana na nguvu ya UKAWA

    Mabadiliko lazama yaje.vijana tumechoka na stori za ccm
  4. D

    Operation chaos UKAWA hawana pa kushika!

    Ni bora kumpa fisadi moja kuliko fisadi kumi. Watanzania tuamke.kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
  5. D

    Mkutano wa Lowassa Nzega-Tabora

    Jamani kuna watu wanamkufuru mungu sana wanasema washindia mambo mihogo. Sasa nimeamini siasa zetu zimekuwa za majitaka
  6. D

    Mkutano wa Lowassa Nzega-Tabora

    Me nashindwa kuelewa mpaka sasa watanzania hawaamini kuwa lowasa anaweza kuleta mabadiliko.watanzania tusiyumbishwe na watu wachache wasio kuwa na uchungu na nchi yao mabadiliko yanawezekana na mabadiliko hayo yanatoka nje ccm
Back
Top Bottom