Recent content by DongoJeusi

  1. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

    Kila la heri mkuu
  2. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Tukitoka ya hii ya vyumba viwili tuone na ya vyumba vitatu
  3. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za mizigo za miguu mitatu(3)

    Gharama zao pia ni hizi
  4. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za mizigo za miguu mitatu(3)

    Kuna Hawa wanajiita hekima na maelezo Yao haya hapa chini VIGEZO NA MASHARTI. 1. MTEJA ATATAKIWA KUWA NA KITAMBULISHO KIMOJAWAPO KATI YA HIVI (A) KITAMBULISHO CHA TAIFA AU NAMBA YA NIDA (B) LESENI YA UDEREVA (C) KADI YA MPIGA KURA (D) PASSPORT YA KUSAFIRIA (E) KITAMBULISHO CHA MZANZIBARI 2...
  5. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Forex traders naombeni msaada tafadhari

    Data moyo wako unavyosema mbali na hapo utakuja jutia
  6. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo ya biashara ya viazi

    Kiongozi kama hutojali gharama ya kujaza fuso ya viazi huwa inafika kiasi gani kulingana na misimu?
  7. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Annual increments zitakavyokuwa mwaka huu kama Serikali hawatobadilisha kitu kwa walimu

    Nyongeza hizi zitatumika benki hasa kuchukulia loans
  8. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Nina laki sita, nifanye biashara gani?

    Kwahiyo laki sita kama una laptop tayari unaweza ukaenda kuchukua printer mpya ambayo inauwezo wa kuprint, scanning, na kutoa copy ipo EPSON yenye uwezo wa hivyo. Kuanzia hapo wateja wako wa kwanza ni wale wanaokuzunguka.
  9. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Naingia mwaka 2023 na Malengo yafuatayo; Tuonane December 28,2023

    Hii championship ipoje?
  10. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi mnakomalia vitu vinavyowapotezea muda mnaacha vinayowajenga

    Ukute ni billionaire wa QI
  11. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

    Huyu referee mwanadada anaitwa nani?
  12. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Waarabu na Wahindi wanawezaje ku-manage biashara kubwa wakiwa na umri mdogo?

    Sisi kwetu unasubiri uwaminie Ili umlize aliyekuamini
  13. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa maboto. Lakini kila nikitaka wanipe balance yangu ili niwalipe hawataki

    BOT aende kufanyaje Mzee acha kumpoteza mwanzako, hiyo ni biashara huria microfinance hawapangiwi riba na BOT. UZEMBE: wanaingiaga kwenye mikataba bila ya kupitia wakiona PESA wanasahau kusoma mikataba mwisho wa siku wanakuja kulalamika
  14. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Nipo Dar, nahitaji hustler mmoja anipe idea ya kuwekeza 400k then nipate Angalau faida ya 20k kwa siku

    Kwa mtu kuja hapa jukwaani na kuuliza huwa ni mwanzo mpya wa tafiti...
  15. DongoJeusi

    JamiiForums Tanzania Biashara ni second chance?

    Kwahiyo ni nafasi ya pili baada ya nafasi ya kwanza pesa kupatikana kupitia kazi
Back
Top Bottom