Recent content by dondezel

  1. dondezel

    Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

    Nahisi kila eneo leo wanatambua kama watu wa vua Gamba wapo mjini Dar! Muhimu ni sisi wote kujitokeza kwa wingi na kuonyesha mshikamano wetu bila kujali umri na jinsia...Hebu tujitokeze!!!!!!!!!!
  2. dondezel

    Halima Mdee: Waziri Prof. Tibaijuka sasa onesha uwezo kuwajibika kwa vitendo, si maneno!

    Mh!Mdee...imani yetu iko kwako pia hasa katika kuikumbusha Mamlaka husika,kwa uwajibikaji kwa viongozi juu ya umma...ili sheria itende haki kwa kila raia.
  3. dondezel

    Zitto akutana na kufanya mazungumzo na Nancy Pelocy & Dennis Kucinich!

    By!dondezel Mh Zitto Kabwe mbunge wa Kigoma Kaskazini anasema "Nimekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa zamani wa Marekani Nancy Pelosi na Mbunge Dennis Kucinich" Kiongozi! Wapenda maendeleo tuko nyuma yako, hasa katika jinsi ya kulikomboa hili taifa ambalo linaekea kudarora...ndio...
  4. dondezel

    CHADEMA yawa gumzo Mtwara

    Hii, Malemo!Bila shaka hiki ndicho chama pekee kilichobakia na imani kwa wananchi wa Tanzania na si vinginevyo kwani kauli za Chadema na matendo yao yako sambamba. ni tofauti na jinsi ambavyo magamba wasemavyo na jinsi wanavyotenda ni tofauti kabisa, we should praise Peoplees power foreverrrrr
  5. dondezel

    Dr Kafumu anusa kushindwa kesi ya Uchaguzi Igunga, amkataa Jaji......

    Kwahiyo Dr.Kafumu anaogopa kufomuliwa na mwl. Kashindye! awe mpole tu kwani inawezekana hiyo ni janja ya nyani ili atuzuge na baadae matokeo yawe ya kushangaza.
  6. dondezel

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Muhimu ni kumwangalia huyu Shibuda then aachwe tu.mwenyewe ataacha viongozi wa Chadema wana mambo mengi sana ya kujadili sio hili la Shibuda huyu anafahamika kuwa aliletwa hapa na Magamba ili alete uchochezi...Naona ameshindwa ndio maana anataka sasa kulazimisha MAGAMBA MATATU!!!!
  7. dondezel

    Penda msipende CHADEMA lazima ichukue nchi 2015

    Uliyosema kuhusu kuchukua nchi mwaka 2015, hilo hakuna kupingika ilimuradi tujipange tayari kwa ushindi huo, muhimu ni jinsi gani tutaendelea kuelimisha kundi kubwa la watu ambao hawaamini kuwa hilo linaweza kutokea kama vile Zambia na nchi zingine.......Bravoooooo
  8. dondezel

    Vua Gamba Vaa Gwanda, Ndani ya Ukonga Jumamosi hii 19/05/2012

    Muhimu pia kujua ni idadi gani ya watu waliovalishwa magwanda, ili ipate kuwauma hawa jamaa wa kijani.
  9. dondezel

    Vua Gamba Vaa Gwanda, Ndani ya Ukonga Jumamosi hii 19/05/2012

    Salama kaka, tunaombamtupatie yaliyojili kule Ukonga katika mkutano wa hadhara mliofanya, bila shaka ulifanikiwa kwa kiwango gani? Tuko pamoja..
Back
Top Bottom