Nataman hata ncngekua na smartphone maana stulii kila saa nachungulia net[emoji35][emoji35][emoji35]...ngekua zangu na batan nafanya kusubir kuambiwa na wengine[emoji24][emoji24]
Safi sana[emoji122] ...umenifanya nipende sana uzi huu na kuptia kila unaloandka...by the way maudhi yapo tu hasa ukitambua kuwa unaishi na binadam hutapata shida hata kidg...wish you good nght na pia pole sana kwa kuhustle today kwa ajil ya kuwapa updates wengi especially me[emoji276] [emoji276]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.