Mh.Bashe,tunaomba wakulima wadogo wadogo wakopeshwe power tiller ndogo za gharama nafauu zinazoweza kulima ,kupanda ,kupililia na kuweka mbolea .zipo zinabei nafuu sana
Mbona hawatangazi? Mameneja wa wilaya wanajua? Mbona hawatangazi? Wananchi wakienda kuomba wanaambiwa mwisho mita 30 kutaokq kwenye nguzo uanlipia 27,000 ikizidi hapo unatozwa nguzo zinazozidi Kwa namna hii umeme watu watausikia tu vijijini. Watangazie wananchi kama watashindwa kuunganisha.leo...
Lakini shida moja umeme unaweza kufika shuleni tu na nyumba labda 3 tu,issue wananchi wengine kuupata ni lazima wanunue nguzo kwahiyo wanashindwa kuupata badala yake unabaki shuleni tu au hospitali.
Tanesco waje na mpango wa kukopesha kuunganishia wanakijiji na watakuwa wanawakata Kadri...
Injini oil inakula Lita 6 unaona rpm inakuwa kwenye 5.pia transmission oil uweke original ji lita4 ,utapenda kuovatake kila gari piga Tanzania yote huchoki
Kama ina ingine ya 1jz D4 ni gari nxuri mimi ninayo inakula 13.5km mjini na high 15km per liter ,ila uwe na plug originally, air filter mpya,na mafuta mazuri,pia uweke oil inayotakiwa kwa injini hiyo 10w- 30 .inakimbia vizuri pia life span ya injini ni km 500,000
Napenda kutoa shukrani kwa mh.Kalemani,Meneja wa mkoa Tabora na Meneja wilaya ya Urambo kwa kufanikisha kutoa Bill za control number ili wateja waweze kulipia kuunganishwa na umeme wa 27,000 kwa wote bila kujali ni nguzo ngapi au umbali gani kwenda kwa mteja.leo hii nimeweza kupata...
Kwani bei ya 27,000 imeshaanza? Hizo ni ngonjera za bungeni tu utekelezaji wake haupo.mpaka sasa Waulize Tanesco wamekwama wapi? Wanasema system ya kulipia control number bado haijerekebishwa ni mwezi sasa hawapokei bei mpya wala ya zamani wamesimama wakisubiri system ijirekebishe yenyewe
Tangu watangaze hiyo bei IT wa tanesco wamesoma kubadilisha system inasema kama zamani kwahiyo Wana mwezi sasa hawaunganishishi wateja walio zaidi ya mita 30.kwahiyo waziri kudanganya au alikuwa anataka kupitishwa baget yake.hata wabunge hakuna anayehoji mpaka sasa wametulia kimyaaq
Huku nako Tabora Urambo ni matatizo kama hayo suveryor kanipimia tangu tarehe 11 june 2021 lakini anasema bado hawajapewa ruhusa kutoa control number kwa 27,000 sasa sijui tatizo eti mameneja hawajapewa kuendelea eti walihoji waraka uliotolewa tarehe 4 June 2021 na MD haufafanui ni mteja wa...
Fafanua kufikiwa na miundo mbinu ni mwisho mita ngapi? Hapo hujafafanua, mteja ni yupi ambaye amefikiwa na miundo mbinu ? Ni mita ngapi kutoka kwenye miundo mbinu ndiyo yumo kwenye huo mradi wa 27,000?
Ambao wako nje ya miundo mbinu ni kuanzia mita ngapi kutoka kwenye nguzo? Hapo fafanua please
Mbona mimi surveyor alikuja kwangu tarehe 11 june 2021akapima ikapatikana mita 76 kutoka kwenye miundo mbinu lakini kakatazwa na Meneja kuwa utaratibu bado au mita 76 iko nje ya miundo mbinu?
Hata kupewa Bill tu imeshindikana kuwa wanasubiri utaratibu au waraka wa kunipa Bill ili nilipe ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.