Kwan ccm sio Lowasa,Sumayi ,kingunge na wengine wakati mikataba inasaini sumaye alikuwa nani serikali na katika Ccm?.ni walewale wamebadili chumba cha kulala tu
Sent from my XT1060 using JamiiForums mobile app
Wewe kauli zinatenguka tu,kwan lowasa hakusema Hamna serikali nzuri kama ya ccm, hakusema Hamna atakaeitoa ccm madarakani, Mbowe ,lisu na wengine walisema lowasa ni Fisadi wa Richmond leo wana msimamo gan?
Kama afisa aridhi anashiriki kufoji saini,unataka aambiwe kwa kubebelezwa kisa ni kufuata maadili ya utumishi wa umma,.tubadilike na tuwe wazalendo ..makonda hana kosa
Watu wanafanya vitu vya ovyo kisa wapo serikalini.
Na wewe maliza chuo uje uajiliwe ufanye ovyo ukitegemea utaogopwa kisa kuna...
Wewe umepungukiwa nn alipo nyang'anywa shamba
Alisema ccm wamemaliza nchi ,yeye wakati ni wazili mkuu alikuwa chama gani...uchafu wote ulifanyika enzi hizo alishiliki.leo unasema CCM....
....kingunge tangu azaliwe ni CCM
Lowasa tangu azaliwe ni CCM
Sumaye hivyohivyo
Leo tunasema nani aliuza nchi
Wewe unapenda siasa,
Kinatotakiwa ni watanzania kujitambua tufanye kazi kwa masilahi ya nchi.
Asilimia 70 ya wanaume Tanzania wanaweza kunywa pombe kila siku,Ila akisia kodi ni kama kasikia msiba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.