Recent content by donald2011

  1. D

    Nionavyo Mimi, ( Tafadhali soma na changia)

    Ndugu yangu nchi hii ni kubwa sana na wabunge ni wachache ndo maana wengine wanaweza kulala kwenye session bila kupigiwa kelele. Tunahitaji wabunge zaidi ili kufikisha uwiano wa wabunge wa Zanzibar yaani kila mbunge awe na watu elfu nane hivi nyuma yake. KUTACHIMBIKA
  2. D

    Mh.Rostam Aziz, the longest Serving MP

    Hivi watu wa Igunga wanamatatizo vichwani? Nahakika yuko kwenye JM mtu kutoka huko. Vipi huyu ndugu Rostam amefanya ubunge mali yake. ikifika 2015 atakuwa amefikisha miaka 21 bungeni? What do you have there? Maji hayakatiki, Umeme haukatiki? Chakula kipo hamfii njaa? Ameoa Mtoto wenu? Watoto...
  3. D

    Mbowe kuunda baraza la Chadema pekee

    Kinacho nisikitisha mimi ni CCM kujiingiza kwenye matatizo ya upinzani. Chadema wasingeweza Kudeliver kama wangekuwa wao tu. Sasa CCM imewapa mpini wa kusema sisi tulikuwa tumebanwa na CCM,CUF,NCCR na TLP tulichaguliwa watu. Jamani hamuoni kwamba 2015 chama kitapoteza zaidi? Naogopa.
Back
Top Bottom