Recent content by Donald Lema

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wanaoshinda kwenye computer/laptop na wanapata pesa huwa wanafanya kazi gani huko?

    Kwenye computa au smart phone Kuna makampuni mengi,yanaadvatise on line jiunge Kuna pesa Sana unaweza make 500k per day
  2. D

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Mzee Malecela hawana bahati na Siasa kama ilivyo kwa Wana wengine wa viongozi wa CCM

    Siasa ndio nini sasa, Kwao siasa hayakuwa mafanikio, hiyo hatua aliyokuwa amefikia Dr Mwele ni Mwanasisa gani atanusa hapo.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye nini ili uchumi wetu uipiku Kenya na mataifa yenye uchumi mkubwa kuliko sisi?

    Tanzania, Tanzania. Nchi ya Watu wavivu kupindukia, watu hawafanyi kazi ila wanataka maisha mazuri, Wenzetu wanafanya kazi, kwa bidii. Na kutunza kile kidogo wanachopata. Watanzania ni wagonjwa sana kifikra, wanatamani ni lini na yeye atapata nafasi ya kuiba.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuzindua reli iliyojengwa mwaka 1898-1907 Arusha

    Mabingwa wa majungu, aibu
  5. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

    Usiandike ujumbe, ukiwasemea wachaga. Tunajua tunachohitaji
  6. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli amfuta rasmi Freeman Mbowe jimboni Hai

    Hai inahitaji damu mpya.
  7. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Moshi mjini: Mkutano wa Kampeni wa mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Magufuli. Asema atafufua viwanda vilivyolala

    Nipo Moshi, ukweli watu wamejitokeza kupindukia.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nadiriki kusema: 70% ya waTanzania tumeshaugua na kupona Corona zaidi ya mara tatu au zaidi bila kujua, nadharia ni hii

    Ni kweli kabisa, niliugua mwezi December 2019..niliumwa sana kwa wiki mbili
  9. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani nitamueleza baba mkwe wangu ili niepukane na karaha za kelele zake za kupiga Mswaki?

    Kwanza ni aibu kusema siri za babako, yaani unampenda mnae tu? Ingekuwa anajisaidia alipo? Kwa ufupi hakuna aliekupeleka kuposa kwake, ni wewe mwenyewe. Umefata nini huku?
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    , rs
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanja sq 487 naweza jenga ghorofa na kubaki na parking ya kutosha?

    Wote waliokushauri, wamejitaidi, gorofa inahitaji vitu vingi, sehemu ya maji taka, ni muhimu. Parking, sehemu za kuanika nguo. Vitu vyote hivi vizingatiwe wakati was kuandaa michoro. Sqm 498 ni kidogo sana.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mabenki hayarudishi pesa wanazokata kama " Bima ya mkopo pindi deni la mhusika linapoisha

    Bima ni bahati nasibu,wanacheza mchezo was kupata au kukosa. Kumbuka bima ya mkopo, inaaply tu ukifariki kabla hujamaliza kulipa mkopo. Ukishindwa kulipa na upo hai amana yako inauzwa. Niambie mbona unapobet ukikosa hudai?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nimepata dharura, nimeibiwa bodaboda zangu mbili nyumbani usiku wa kuamkia leo

    Nenda kwa yule mganga wa Bungoma Kenya. Ingia utube, kuna clip, utapata namba zake.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwaherini wanaJF, nimegundulika nina ugonjwa wa Hepatitis B. Niliowakosea naomba mnisamehe

    Ugonjwa wa homa ya ini unapona, kabisa. Matibabu yake kwenye hospitali za rufaa, Kcmc, Bugando, Mbeya Hospital, Muhimbili.
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    D
Back
Top Bottom