Recent content by Donald Bakari

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuache alama ili nchi yetu ipate maendeleo ya haraka

    Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya Marehemu mahali pema na sisi sote tujifunze. Maisha yetu yawe ya mfano.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Yajayo ni neema Tu. Tunafunga hesabu pale Zanzibar.
  3. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa mgombea Urais Dkt. Magufuli (CCM) - Septemba 14, 2020

    Hotuba ya Mheshimiwa Rais Magufuli imejaa uzalendo na azma ya kuhakikisha nchi hii inakuwa na maendeleo na kutokomeza umaskini.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Serikali ya CCM itaendelea kuwa imara na itaendelea kuiongoza Tanzania.
  5. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

    Uongozi ni heshima, uongozi ni wa kuwatumikia wananchi.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Kwa uzinduzi huu, Mzee Seif anastaafishwa siasa Zanzibar. Dr. Mwinyi ni muadilifu, mzalendo na kiongozi mwenye weledi.
  7. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

    Wewe wasema, CCM imeleta maendeleo katika kila maeneo: Elimu, afya, usafiri, viwanda, uvuvi, madini, amani na maeneo mengine. Usione vyaelea vimeundwa. Viongozi wa Serikali ambayo iko chini ya CCM wana uzalendo na taifa hili.
  8. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

    Tundu Lissu anazidi kupotea siku baada ya siku. Uchaguzi unahitaji akili kubwa. Akiendekeza propaganda havitamsaidia.
  9. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Kutoka kuwa mtafuta kura za huruma mpaka kuwa mchochezi ambaye anaachwa avunje Sheria

    Tundu Lissu anashindwa kujidhatiti katika hoja, amekuwa akishambulia ajenda ambazo sio sera. Anaendelea kupoteza idadi wa wapiga kura wachache aliokuwa nao.
  10. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu kuntu 5 za kwanini Rais Magufuli atashinda tena Uchaguzi huu

    Ni JPM tena. Tunashinda kwa kishindo.
  11. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Takwimu zinaongea wazi kwa CCM kushinda 2020

    Kazi itaendelea kufanyika kwa kiwango cha juu. Tutaendelea kuyasema mema na mafanikio yote.
  12. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

    CCM wako imara na thabiti. Wana sera zenye tija kwa taifa. Wananchi wanaimani na CCM.
  13. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Takwimu zinaongea wazi kwa CCM kushinda 2020

    JPM amefanya mengi makubwa.
  14. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

    Yap, hili ni jambo la msingi.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Simiyu Usione vyaelea ujue vimeundwa

    Naamini mwezi wa kumi na moja au kumi na mbili tutashuhudia mambo mazuri.
Back
Top Bottom