Elimu ,Elimu ,Elimu...Kwa mujibu wa sheria barua ikiwekwa tu /ikipostiwa tu kwa anuani sahihi ya mpelekewa mara hiyo hiyo inahesabika barua imeshamfikia mlengwa. Kuchelewa kwa messenger au mpokea barua kwenda posta kuchukua barua hakufanyi barua hiyo iwe haijamfikia mlengwa.
Barua yoyote...
Mungu mwingi wa rehema ameshasikia sala zetu. Tundu Lissu atakuwa sawa kabisa kwa nguvu na uwezo wa Yesu Kristu mwana wa Mungu aliye hai, anayetawala mbingu na nchi. Amina
Akili ndogo utaijua tu. Sasa afungue kesi gani ? Kufuatiliwa na gari? Sio kila uzi unatakiwa kuujibu hata kama umekukwaza basi pinga kwa hoja zenye mashiko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.