Recent content by Don R

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwenye hili biashara

    mcheki jamaa mmoja hv anaitwa zanzibar spices hkuhku jf kwenye nyuz za bodaboda
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mashine ya juisi ya miwa inauzwa

    kwa cku ulikua unapiga shingap
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo zuri la biashara ya chips

    wadau nlikua natafuta eneo zuri hv la biashara ya chips ambayo isiwe ya bei ghali saana kama chini ya laki moja hv ambayo local local ila kuna wateja weng na lamechangamka maana nmesumbuka sana kutafta na kama ni town sana juu ya 100k hko ckuwez naomben mnijuze sehem ya kawaida tu yenye kulipa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Block mixer mashine

    nenda maeneo ya makongo kuna hardware za hatar zpo nyng hzo nmeziona
  5. D

    JamiiForums Tanzania Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

    masomo bdo sna mpka mwez wa 12 trh 14 ndo mtaanza sshv kulen bata tu
  6. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA WADAU

    samahann wana jf hv bsc of information management ni nzur kwa kusoma na ajira zke ni zpi ? na inalipa vzur?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    nipe nmba zake mkuu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nianzishe biashara gani ili niweze kujikimu?

    Habarini wana JF Mimi ni kijana wa miaka 20. Nilimaliza form 6 mwaka huu combination ya PCB nikapata div II. Ni kwamba hali yangu imekuwa ngumu mno hasa ktk kipindi hiki cha chuo kwa sababu mzee wangu binafsi ana uwezo wake mzuri tu wa kunisomesha hata miaka kumi sema alikataa kunisomesha na...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    mbna first mna mawenge unaenda sku yyte we uamue sio high xcul hko mdgo wng
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kumkopesha mchumba pesa ya kufanyia biashara ili apate hela ya kulipa mahari?

    atakua ni mwanaume wa dar hyo njoo mkoan
  11. D

    JamiiForums Tanzania Napendwa na mke wa mtu mpaka naumia moyo

    hii chai tamu mno[emoji2] [emoji2]
  12. D

    JamiiForums Tanzania tuokoeni wadau atuelew

    naenda kutafta rizki ndugu yng we c ushatoka sshv broo unakula shavu tu kwa7bab unajitambua ?
  13. D

    JamiiForums Tanzania tuokoeni wadau atuelew

    ndyo ila ss kuna vyuo nliomba kama ardhi maswala ya archtrcture ndo nlokua nataka ss nashangaa wamenpangia hyo coz apo ss ndo maana nkauliza tu kwa uzur na sio kwmba nlikua cna ndoto ni imetokea tu kutokana na mfumo wetu wa kielimu nchini kwahy lengo lng imenbid tu nihame mwelekeo ndo maana...
  14. D

    JamiiForums Tanzania tuokoeni wadau atuelew

    ila ndo nkawa nna waswaa nayo
  15. D

    JamiiForums Tanzania tuokoeni wadau atuelew

    ndo wamenpangia nsomee hyo cozi broo
Back
Top Bottom