Recent content by don-gama

  1. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    I THANK GOD NIMEPATA UHAMISHO. NAWATIA MOYO AMBAO HAMJAPATA MSIKATE TAMAA. MIMI NIMEKOMAA TOKEA 2016 LKN HATMAE USHINDI.
  2. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    vip jamani kuna tetesi zozote za uhamisho? kuna mdau alisema wiki hii watatoa majina mengine.any updates plz?
  3. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    High guys vip kuna updates zzote za uhamisho awamu ya tatu?
  4. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatoa majina mapya ya uhamisho Februari 2018

    Jamani kuna update zzote za uhamisho wamu ya tatu?coz nlitegemea kuona tokea jana wakitangaza.
  5. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Hivi mikoa mingine watatangaza lini?
  6. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatoa majina mapya ya uhamisho Februari 2018

    Dah nimechoka kabisa. Mkoa wa mwanza imekuaje?
  7. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatoa majina mapya ya uhamisho Februari 2018

    Mbona sioni mkoa wa Mwanza?
  8. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    kipengele cha sita kwa wale wa 2016 kabla ya uhakiki unatakiwa upate barua kutoka kwa mkurugenzi unapohamia inayothibitisha nafasi yako bado ipo na nyingine kutoka kwa mkurugenzi wako inayothibitisha kua bado anakuruhusu kuhama na ya tatu wewe uandike kua unajicommit kuhama kwa garama zako...
  9. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Habari zenu wadau? Huo warAKa ni wa kwelii. Hata mimi nilipewa hayo maelekezo na mtumishi wa tamisemi anaedeal na uhamisho. Tuma nakala ya nyaraka zote zinazoverfy uhamisho. Ukishatuma tu ni fasta unahamishwa ndo maana watu wanahamishwa kimya kimya wala hawaweki mabango.
  10. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Vip wadau,alieko dodoma karibu na tamisemi atupe update basi. Wapi Ms Yoga????? Tupe nondo basi mdau. Au ndo ushafutwa uhamisho.
  11. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Dah wanazidi kutuchaaangaanya.....
  12. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    High Yoga! Nashukuru kwa ukaribu wako kutupa updates za uhamisho. Mimi niliomba wa kuhama nje ya mkoa na nilikamilisha taratibu zote. Ilibaki kutangazwa tu ukastopishwa. Naomba utupe updates kwa sisi tunaotazamia kuhama nje ya mkoa inakuaje? Asante.
  13. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Kwakweli inatuvunja moyo na inatuchosha sana maana mipango ya wengi imevurugika. Ukizingatia maisha ya watumishi ni magumu na kupata uhamisho kuna punguza garama za maisha kwa mtumishi na kuongeza ufanisi wa kazi. Uhakiki wameshafanya hebu watuache basi tuhame tuendelee kujenga taifa. Modali wa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Tuachane na hiyo virus ya baypot... Sasa uhakiki umepita niliskia uhamisho ni july. Vip kuna mdau mwenye update yoyote kwa wale wanaofahamiana na wahusika?
  15. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Dah jamani! Mbona wanatuchosha hivi. Lile tamko nliloskia kua uhamisho ni july lilishia wapi?
Back
Top Bottom