Mama kaupiga mwing japo tukienda kimahesabu n kama kuliwa elfu Hamsini kweny michezo ya kubahatisha alaf ukaja ukashinda elf arobaini baadae,. Lazma utashangilia saana.
Bighaa ziko juu, nauli zinapanda na vitu vngne vingi tu, alichofanya mama n ksaidia kulipa asilimia fulan ya tozo. Ongezeko...
Kama kuna mtu hafai kuigwa basi ni mama, baba alikufundisha kuishi kiume. Sasa hivi mama anatukanwa hadharani na hakuna anachofanya afu unasema anafaaa
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kwani ni kitu gan ambacho mama amekopi kutoka kwa magu, hakuna tofauti na kwenda kinyume. Hii inaonyesha ni namna gan kikulacho ki nguoni mwako na ni kunguni
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sababu ya sauti kuwa kubwa si ndio hio, pangekuwa pamejengwa vizuri unadhan hao majiran wangelalamika kelele, , , , ,
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nlitumia njia ya barua lakn bado kweny kumpa ikawa kasheshe. Kila nkimuona nahisi kuna neno litamkera naamua kuirarua naenda hom kupanga mashambulizi upya
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Em ona tu kila kiongoz anavyo ng'ang'ana kujenga kwao, lakini kwa mwalim pako ovyo. Pengine ni nature yetu sio kwamba tumelala
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kumbe shda ni pete ili ukawaringishie wenzako kuliko kuthamini uwepo wake kwako,.mmmh! Hatar saana
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.