Nani asiye mjua Lugumi labda wewe na vijana wadogo waliona video yake jana yule jamaa zile gari mara yake ya kwanza kuzi post juzi na sio kama hana social media akaunt wala hana ma star ambao ana socialize nao je Kati ya Lugumi na Sir wicknell nani ana showoff yule yote kwa yote sio vyema...
Leo ndio nimekutana na hii ile juzi baada ya kupostiwa ile video na ku view watu wengi niliwaambia hapa baadhi ya watu maneno kama haya uliyoandika mkuu jinsi tu Lugumi alivyokuwa anamuita jina na kucheka pia kumwambia twende huku ukaone magari kwa mtu mwenye akili timamu na kama unajua uswahili...
Habari wana JF, sitotaka kufanya uzi huu uwe mrefu sana; najaribu kufupisha ili nisikuchoshe wewe utakaechukua muda wako kusoma.
Hakuna biashara utakayoanza leo ambayo haijawahi kufanywa; naamini hilo linahusu sekta zote. Swali muhimu ni, umejiandaa vipi kushindana na wale walioanza mapema? Ni...
Wote wameongelea kukopesha kweli nakubaliana nao kwa yote ila kuna staili ya kukopesha siwezi kuitaja humu mana siku hizi ujuzi ni hadhina na huutoi bure bure tu kama hutojali nicheki hapo whatsapp +905428522770 sipo nchini natagemea kurudi mwezi ujao
Daah mi sijui nikujibuje ila kiufupi mimi nina ex wangu tangu tuachane ni miaka mi 7 sasa japo bado ajafuta tatoo yangu na kashaolewa lakini yeye hachoki kumletea zawadi mama yangu kila atakapo pata nafasi pia hata mimi nikipataga shida yeyote huwa hachoki kinisaidia na kunishauri huwa analivaa...
Ila kipanga samahani nikulize kitu sawa mimi sio babako , mamako wala bibiako ila humu jamii forums unatengeneza sh. Ngapi na mimi nipate ndugu yako mana kutwa kucha kila mada itakayowekwa humuu jamii forums kipanga haikupiti?
Sikatai lakini sio socialism kama aliyozumza comrade hapo juu ya watu kujingilia vijijini na kufanya trade au export yeyote haswa kutoka nchi sio yako mwenye akili na aliekua anajua kuweka mipaka kama iyo tumesha mzika
Unadhani socialism ya wachina imejengwa kiholela holela kama hivo alaivyosema ndugu yetu wachina socialism yao wamejenga wao kwa wao na kama ujamaa basi ni ujamaa wenye mipaka toa screenshot hiyo mana umekurupuka tu kuweka bila kujua aina gani za socialism wenzenu wamefanya kufanikiwa yani wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.