Recent content by Don Andrew

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mtazamo kwa wafanyabiashara wadogo

    Kwanini wanaojihusisha na biashara ndogondogo (wafanyabiashara wadogo) hasa wajasiriamali wanaonekana kuuza vitu vyenye ubora mdogo hata kama vinafanana na wenye biashara kubwa tena kwa bei nafuu zaidi?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nani ni nani leo Mtani?

    Leo matokeo ni draw
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Timu za Vijana kukosa ufadhili

    Katika maisha ya soka dunia nzima vijana ndio msingi mzuri wa maendeleo ya soka. Katika taifa letu la Tanzania jamii ikiongozwa na TFF kwa msaada wa serikali imekuwa ikijitahidi kuinua mchezo wa soka, lakini inasikitisha kuona wanachokifanya ni KUTENGENEZA PAA LINALO MEREMETA WAKATI MSINGI NI WA...
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

    UBINAFSI ,WIVU, UZEMBE Hayo ni mambo ambayo yalifanya mimi na Rafiki yangu kutengana.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Umeelewaje katuni hii Mdau?

    Apo ni udanganyifu tuu katika taasisi wanatengeneza njama za kuhujumu ili wapate faida
Back
Top Bottom