Recent content by Dominus Vobiscum

  1. D

    TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

    Pole ndugu, huelewi kitu. Fox news network si mali ya Serikali ya MAREKANI. Ni chombo binafsi. TBC inaendeshwa na kodi za watanzania, irregardless of the POLITICAL AFFILIATION . Inapaswa itoe nafasi SAWA kwa wote.
  2. D

    Labda ndio siasa ilivyo Ila kiubinadamu CHADEMA mmefanya kosa kubwa

    Uliwahi kutoa kauli hata ya sentensi moja kushangazwa na 'MFARIJI' mkuu kushindwa kumtembelea mwananchi wake, kiongozi mwenziye aloshindiliwa RISASI na marcenaries wa nchi, na 'mfariji' mkuu kushinikizwa Mwananchi huyu Kuvuliwa ubunge, hali yupo kitandani akiuguza majeraha na vyuma mwilini? Je...
  3. D

    Kama David Silinde aliitumikia CCM kwa siri kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni inawezekana sasa anaitumikia CHADEMA akiwa CCM

    Umenena vema kusema "SIDHANI". Unafahamu lolote kuhusu 'double agents existence'? Anything is on cards. Bottom line is, hakupaswa kutamka hadharani. A grave mistake for such an enthusiastic green horn politician.
  4. D

    Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

    Baadhi ya vijana wa CCM kama wewe ni hasara na aibu kwa UUMBAJI. Maskini Tanzania.. Tupo Pyongyang sasa.
  5. D

    GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Naomba nitoe neno: Itakapoketi Kamati kuu, Uncle Eng James Nyabakari atapitishwa. Reason: Tanroads' breed (Eng Kijazi, Eng Mfugale, Eng Kakoko, Eng Nditiye........ Kitchen cabinet ya 'HUYU')! Dominus Vobis..
  6. D

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ndugu Salamander karibu tena. Uliadimika aisee.
  7. D

    TANZIA Mwl. Samson Kibaso, mtunzi wa wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Afariki Dunia

    Maestro Kibaso, RIP! Requiem aeternam, dona eis Domine! Nyongeza: Mtoa orbituary ameweka chumvi baadhi ya maelezo. Ni kweli, He's a great, somehow fine 'Kapellemaestre' However, utunzi wa East Africa Community Anthem, si utunzi wake. (AUTHORITATIVELY, NOT HIS). Tanzania wakati wa ushindani ule...
  8. D

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Arthur -> Pjanic deal done. Worthy? Recently Barca sijui wanakula maharage ya wapi!
  9. D

    GE2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

    Pole sana. Kwako wewe Theories za Bwana Green unaziona Supreme & Ultimatum? Hujaelimika vya kutosha
  10. D

    Tanzia: Askofu jimbo kuu la Mbeya Everist Chengula afariki dunia

    Pie Jesu Domine, dona eis requiem, Dona eis requiem sempiternam.
  11. D

    Prof. Mark Mwandosya aenguliwa Uenyekiti Bodi ya chuo cha Mwalimu Nyerere; nafasi yake apewa Stephen Wasira

    Umesahau Nyumba za serikali zilizouzwa? Umesahau meli chakavu ya bagamoyo? Penalties za kuvunja mikataba? Magu si safi kama unavyotaka mawazo yako yawe AMINA.
Back
Top Bottom