Recent content by dominion

  1. dominion

    Nauza unga wa samaki (panki)

    Mambo vp bro...unga wa samaki unauzaje...mimi pia nipo arusha
  2. dominion

    Crossing kuroiler na kienyeji chicken

    Sawa,sababu ya mimi kuwa serious kutafuta jibu la hili swali ni kwamba naogopa kucross bila ya kujua hint ya matokeo...kwasababu pia time inaenda so nikipata jibu la uhakika kuwa watakuwa kuku wazuri then nacross direct nusu ya kuku ambao ni nao...na kama itaonyesha kuku wataopatikana baada ga...
  3. dominion

    Crossing kuroiler na kienyeji chicken

    Ahhh ok...lakini wat happens ukicross..!?kutakuwa na shida yoyote??? Kwasababu aim yangu ni kupata kuku mwenye sifa za kuroiler kama kutaga vizuri na kuwa haraka na pia kulalia mayai..!
  4. dominion

    Crossing kuroiler na kienyeji chicken

    Mambo vp wadau. Naomba mnifahamishe,nimejaribu kutafuta jibu kwa internet na kuuliza baadhi ya watu lakini sijapata jibu...swali langu NI SAWA KUCROSS KUROILER CHICKEN NA KUKU WA KIENYEJI,kwamba hao vifaranga watakaototolewa wayakuwa na uweza wa kulalia mayai kama kenyeji na lia wawe na sifa za...
  5. dominion

    Nauza fresh Strawberry

    Hongera for the big step......mimi nimeanza na strawberries kidogo nilizopewa na rafiki arusha,in sha allah mwezi huu nitapanda mbegu zaidi kwenye ka bustani kangu kadogo [emoji23] mbegu nimeshazipata. Wenye info zaidi karibuni! Pia kwa wanaohitaji mbegu wanicheki(seeds) not seedlings
  6. dominion

    Nauza DCP di calcium phosphate

    Kilo ya unga wa samaki 3000 na dcp kilo 3000. Ukinunua mzigo mkubwa discount ipo
  7. dominion

    Nauza DCP di calcium phosphate

    Habarini wana JF Kama heading inavyoeleweka,nauza dcp kwa viwanda vya kutengenezea vyakula vya wanyama hasa kwa wanaotengeneza chakula cha kuku, Kwa wasioifahamu ni compounds ambazo zina msaidia mnyama kama kuku kukua kwa haraka na afya na pia kutaga mayai kwa wingi na kwa kama ngombe...
  8. dominion

    Heat transfer paper (for t-shirt screen printing) zinahitajika

    Bro na mm nahitaji the same stuff kwa arusha....where do we get these things
  9. dominion

    Soko la mapapai arusha

    Habari zenu wana JF. Naombeni msaada kutoka kwenu...nahitaji kufahamu kama arusha kuna market nzuri ya mapapai na pia mikoa mingine tanzania....nipo kwenye research stage kwa sasa Asanteni na karibuni.!
  10. dominion

    Bei mpya za uchimbaji wa visima, ground water survey na pump installation

    Najua kuna wakuchimba kwa mkono ambayo inakosa kwanzia 1 m to 2 million na kuchimba kwa gari ambayo inacost i think kama 10 m nakuendelea
  11. dominion

    Maelezo kuhusu kodi ya ardhi na jengo

    Ndugu what if unaghorofa,hakuna ongezeko lolote la kodi (meaning ni nyumba ya kuishi lakini ni ghorofa)...naomba ufafanuzi
  12. dominion

    Maelezo kuhusu kodi ya ardhi na jengo

    Nimefurahi kufahamu....kwa sababu kuna mtu namfahamu anaplan ya kuuza nyumba kwa sababu ya taarifa za uongo kuhusu hii issue ya kodi
  13. dominion

    Maelezo kuhusu kodi ya ardhi na jengo

    Sawa sawa massaiboi....asante sana....ni vizuri kujua ili tusije tukaibiwa na hawa watu [emoji40]
  14. dominion

    Maelezo kuhusu kodi ya ardhi na jengo

    Mazee shukran sana...nimepata kidogo hope na ujasiri kidogo....also mr. Jodoki eb nielezee kidogo kwa wenye mahekalu.[emoji120]
  15. dominion

    Maelezo kuhusu kodi ya ardhi na jengo

    Blaza mbn hapa unanipanikisha,sasa hapa watu si watauza nyumba zao ...duuh!
Back
Top Bottom