Nilitaka nimsupport jamaa, lakini hizi comment naona zina ukweli ndani yake. DUCE wametangaza nafasi za tuitorial assistant, assistant lecturers na lecturers, jaribu kuomba. Wenye first class kazi zinawatafuta, sio hao wanatafuta kazi. Mi nahisi unataka kusikia watu wanacomment nini juu ya hilo!!