Recent content by domdom

  1. D

    TCRA, Kipindi cha Tega Nikutege cha TV1 hakifai

    ........... Mtoa mada UME-PANIC, Kipindi cha TEGA NIKUTEGE ni kipindi cha mchezo wa karata, kipindi hiki kinawakutanisha vijana wa kiume na wa kike ambapo Binti huchagua kijana wa kwenda nae DATE kwa siku watakayochagua wao. Au MTOA mada haufaham maana ya DATE??????? Dating is a part of...
  2. D

    Satellite Dish kubwa C-band zinahitajika; size 10ft

    Habari. Nahitaji kununua Satellite Dish za cband 10ft. Mwenye nazo anitumie namba yake ya simu nitampigia. Asanteni sana.
  3. D

    Anahitajika Pharmacia mwenye cheti tayari. Awe tayari kufanya kazi MANYARA.

    Kwa wale waliomaliza chuo hivi karibuni nawa encourage zaidi. Atakayekuwa tayari kufanya kazi MANYARA tuwasiliane kwa namba: 0658455120
  4. D

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Viongozi wa BAVICHA Taifa - Mlimani City, Dar

    Au aliyeshinda mmemnunua tayari?? au alikuwa kundi lenu before?? naamini chadema wako makini zaidi ya tunavyofikiria, ikijulikana kanunuliwa tu ATAPIGWA CHINI MARA MOJA.
  5. D

    Pikipiki inauzwa fekon yenye number t104, cyk

    Wakuu nauza pikipiki yangu ikiwa katika hali nzuri kabisa, inatembea. bei: 850,000/= contacts: +255658455120
  6. D

    Nauza gari toyota spacio 5.5mil

    shukrani kwa ushauri wako, napost now.
  7. D

    Nauza gari toyota spacio 5.5mil

    Number yangu ya simu: 0686654180
  8. D

    Nauza gari toyota spacio 5.5mil

    Reg Number: T831 BUH
  9. D

    Nauza gari toyota spacio 5.5mil

    Dar es salaam
  10. D

    Nauza gari toyota spacio 5.5mil

    Habari wandugu, ninauza gari model: Toyota Spacio Mile: 95,000km cc: 1490 Iko katika hali nzuri, nina shida na pesa ya kulipia ada ndio sababu naiuza kwa bei ya 5.5Million. Simu: 0686-654180
  11. D

    Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

    Kumbe Zanzibar Tunawatawala, so ile kauli ya Zanzibar ni koloni la Tanganyika ni kweli??? angalia alichoongea Lukuvi.
  12. D

    Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

    Kumbe Zanzibar Tunawatawala, so ile kauli ya Zanzibar ni koloni la Tanganyika ni kweli??? angalia alichoongea Lukuvi.
  13. D

    Natafuta vijana wa kuendesha Bodaboda na Bajaji

    Walio tayari wanitumie contact zao inbox, nipo Morogoro
  14. D

    Kafulila aifunda CCM,awapa somo wahafidhina

    Jana mjadala ulikuwa moto kweli bungeni, Ila dondoo zifuatazo ndizo nilizifurahia: 1. Kama wananchi 17000 hawakustahili kutoa maoni na msimamo wa kuhitaji serikali tatu-Ni vipi Wajumbe 600 walioko dodoma kutunga Katiba kwa niaba ya watu mil 44??? 2. Kama unasema watu waliotoa maoni walikuwa...
  15. D

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 11 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Naamini kuna baadhi ya mambo wakati mkijadili mnaweza kuona kabisa hayastahili kuwa-implemented kwa sasa; Mfano Serikali TATU, Mawaziri kutokuwa wabunge! Niwakumbushe ya mwaka 1992, asilimia kubwa ya Watanzania hawakutaka mfumo wa vyama vingi; lakini kwa maslahi ya taifa ililazimu uwepo. Sioni...
Back
Top Bottom