Recent content by Domck

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

    Rais akinunua ndege mnapinga zikija mnataka mpande bure. Wale walibariki unanunuzi wa ndege ndio wanakula matunda kwa kupewa offer ya Ku panda bure..acheni wivu watu waki-enjoy mafanikio yao Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dhambi kubwa kuliko zote ni uoga , tukutane kesho Mahakama ya Kisutu

    Mkipewa dhamana mnakiuka masharti...naenda kwanza kazini baadaye nitapitia kwenye mitandao kujua kinachoendelea.
  3. D

    JamiiForums Tanzania CCM ikianguka leo wafuatao watakimbia nchi hata bila kukimbizwa

    Ndoto za alinacha
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi zile milioni 20 ambazo Rais Magufuli amewaahidi wajasiriamali wa Ferry, zinatoka mfukoni mwake au kwenye Hazina yetu ya Taifa?

    Kuna malipo huwa wanalipwa seniors katika serikali , yanaitwa responsibility allowance, kwa hiyo ametoa kwenye pesa yake ya responsibility allowance. Punguzeni mdomo
  5. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA washinda unaibu meya jijini Arusha kwa kura 27 kati ya 34

    Chadema wana madiwani wengi Arusha , automatically lazima washinde . uchaguzi wa naibu meya kila nusu wa muhula wa miaka mitano it is just procedure matwaka ya kikatiba..huna sababu ya kusherekea ushind hapa jukwaani Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imekutana katika kikao chake maalum, siku ya leo Jumatano

    Wakijijadili wenyewe na maslahi yao inatosha bhana ....sio mpaka na taifa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ngurumo: Kwenye siasa hatufuati watu. Ukiwafuata watakuacha solemba. Fuata misingi

    Mtaonge mengi but mwisho wa siku wote ni wale wale..wanafiki wakubwa mna tamaa ya madaraka
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro atangaza kuachana na chama hicho! Ajiunga na CCM

    Upinzani bila unafiki mambo hayaendi..mmesahau chadema mlimnyima ubunge mtatiro jimbo la segerea Leo ndio unajifanya mnampenda sana...shubamit..!
  9. D

    JamiiForums Tanzania CUF impitishe Julius Mtatiro kugombea jimbo la Kinondoni

    Ukawa wawaongezee wanakinondoni uwanja mpana wa kuchagua kwa chama cha CUF kumsimamisha ndugu Mtatiro kinondoni ...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Ujumbe wa Rais Magufuli ni kunitaka nirejee CCM, ila nilikataa

    Hapo ndio utajua maana ya chama kutiwa mfukoni..mwenye pesa co mwezako
  11. D

    JamiiForums Tanzania Imebainika: Lowassa alienda Ikulu kama Waziri Mkuu mstaafu na siyo mjumbe wa CC ya CHADEMA!

    Ukiwa na pesa ata ukijamba kwenye kadamnasi watakuambia pole mheshimiwa..
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe zilizokuwa zikifanyika Nairobi hatuzioni ubeligiji

    Ukiwa na kitambulisho tu kupigia kura Nairobi unaingi..kule ulaya baba bila viza huingii..makamanda wamefulia wamemuudhi sponsor el . hawana hela ya visa
  13. D

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika kikao cha Kamati Kuu Chadema

    Si mlikuwa mnapiga mapambio kwamba lowasa kawapatia wabunge wengi na madiwani...Leo hii mnageuka mnasema hajawafanyia chochote..muwe na shukrani
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo CHADEMA: Lowassa ajiandae kujieleza mbele ya Kamati Kuu, akileta blah blah analiwa kichwa

    List of shame...jina la Lowasa lilikuwepo baada ya kumsimamisha kugombea urais ukweli ukageuka kuwa uongo..usipende kutuaminisha eti fulani ni mkwel..wakati unajua hachelewi kubadilisha kauli..
  15. D

    JamiiForums Tanzania Yanayompata Lowassa liwe ni funzo kwa wanaompongeza Rais Magufuli

    MsemajiUkweli, Fact
Back
Top Bottom