laptop90
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,827
- 2,298
Huyo Dada msamehe tu kazoea ya tandaleHicho kikao kinakaliwa wapi wakati jana kimeahirishwa kupisha mazishi ya mama yake Kibatala hii leo, na badala yake kinafanyika kesho.
Huyo Dada msamehe tu kazoea ya tandaleHicho kikao kinakaliwa wapi wakati jana kimeahirishwa kupisha mazishi ya mama yake Kibatala hii leo, na badala yake kinafanyika kesho.
Si mlikuwa mnapiga mapambio kwamba lowasa kawapatia wabunge wengi na madiwani...Leo hii mnageuka mnasema hajawafanyia chochote..muwe na shukraniPamojaa na kuw mchokoa mada ni mzushi bado nina imani ya kua Lowassa siku zake ndani yaCDM zinahesabika kwani hana lolote wala hajawahi kuifanyia CDM chochote toka ajiunge ...
Lowassa na udhaifu wake alionewa kupewa bendera ya upinzani kuipeperusha, hafai na haitokaa ije itokee goigoi kama Lowassa aunufaishe CDM na upinzani.
Lowassa ana makandokando yake na ndicho kilichompeleka Ikulu kwenda kuweka mambo sawa... Haiwezekani wengine wanateseka huku yeye anaenda Ikulu kuimba na kusifia...
TZ tunauhitaji wa upinzani wenye nguvu, wenye misimamo isiyoyumbishwa na utawala na si huu wa kusifu na kutoa matamko.
Hivi ninyi watu wa lumumba mambo ya cdm mnayashupalia na kukaza mishipa ya shingo yanawahusuje? Ninyi mnayoyafanya huwa mna guts za kuhoji hata moja?Janja ya chadema ndio kwanza nasikia kikao kikubwa kama cha kamati kuu ya chama cha siku moja kinaahorishwa sababu ya msiba wa MTU ambaye kafariki ambaye si kiongozi wa Chadema ni ndugu wa mwanachadema.Kwa hiyo ndugu wa viongozi wa chadema watakuwa wakiahirisha hata mkutano mkuu wa uchaguzi? Kwa nini huo msiba usingesubiri kikao cha kamati kuu kiishe?.
Hata ingekuwa harusi wangehairisha. Inakuhusu nini wewe? Sasa wameahirisha, una la kutuambia tena wewe uliye nyuma ya wakati?.......hii ya kuahirisha kwa sababu ya " kilio".....!!
Kubukumbu ni kitu muhimu! Nguvu ya Lowassa Leo CDM inaongoza miji yote mikubwa tanzaniaPamojaa na kuw mchokoa mada ni mzushi bado nina imani ya kua Lowassa siku zake ndani yaCDM zinahesabika kwani hana lolote wala hajawahi kuifanyia CDM chochote toka ajiunge ...
Lowassa na udhaifu wake alionewa kupewa bendera ya upinzani kuipeperusha, hafai na haitokaa ije itokee goigoi kama Lowassa aunufaishe CDM na upinzani.
Lowassa ana makandokando yake na ndicho kilichompeleka Ikulu kwenda kuweka mambo sawa... Haiwezekani wengine wanateseka huku yeye anaenda Ikulu kuimba na kusifia...
TZ tunauhitaji wa upinzani wenye nguvu, wenye misimamo isiyoyumbishwa na utawala na si huu wa kusifu na kutoa matamko.
Kamati Kuu ya CHADEMA imezogezwa mbeleMuda si mrefu kikao cha kamati kuu ya Chadema kilichoitishwa kwa dharura kitaanza. Agenda za kikao haxijawekwa bayana lakini wanachadema wengi wanadhani itakuwa ni kumjadili mzee Lowassa kwa kitendo chake cha kutimba magogoni bila ruhusa ya mwenyekiti wa chama. Tutajuzana yanayojiri hapa hapa, karibu!
Mbona CCM ndiyo zenu Mkuu? Hukumbuki kwamba Lowassa alikuwa CCM na mlikuwa mnamwogopa Kama ukomaHahahaa nilisahau kuwa huko Chadema " mtu" ni mkubwa kuliko chama!....... hii hata bungeni sijawahi sikia!
Haiwezekani mwenye chama akaomba ruksa kwa mesenja wake banaMuda si mrefu kikao cha kamati kuu ya Chadema kilichoitishwa kwa dharura kitaanza. Agenda za kikao haxijawekwa bayana lakini wanachadema wengi wanadhani itakuwa ni kumjadili mzee Lowassa kwa kitendo chake cha kutimba magogoni bila ruhusa ya mwenyekiti wa chama. Tutajuzana yanayojiri hapa hapa, karibu!
Na kweli wanatafuta njia ya kuhalarisha kutafuna ruzukuWataongelea nini zaidi ya kukusanya posho?
Usiangaike na hawa ccm , wanaojaribu kutunga uzushi... Kikao kimesogezwa mbele.. Note, Mimi ndo nilikuwa wa kwanza kutoa taarifa ya kikao hiki mapema wiki hiiKamati Kuu ya CHADEMA imezogezwa mbele
Tumuamini nani.??
Mmenikumbusha mazishi ya kitaifa ya Mbwa wa NassariNikweli kikao kilikuwa kifanyike leo ila kimeairishwa had kesho kwa sabab ya msiba
Msiba ndio alitakiwa uahirishwe hadi kikao cha kamati kuu kimalizike sio kikao cha kamati kuu kiahirishwe sababu ya msiba.Chadema hovyo sana.Hivi kikao gani cha chama kilichotoa hayo maamuzi mazito ya kuahirisha kikao kizito kama cha kamati kuu? Na sababu nzito zipi zilitolewa kwenye hicho kikao kuhalalisha kisifanyike.Hii kitu kuna mjanja kapanga siku mkutano mkuu wa kitaifa wa uchaguzi ukifika yaweza letwa taarifa kuwa mkutano umeahirishwa hadi msiba wa hawara yake na kiongozi mwenzetu uishe na akae matanga siku 40 ! MTU akibisha ataambiwa kawaida hata kamati kuu kikao chake kiliwahi ahirishwa kwa mambo kama haya ya misibaMmenikumbusha mazishi ya kitaifa ya Mbwa wa Nassari
We rungulamaku,hayakuhusu. Mwoshee mumeo akuzibe.Bila ruksa wakati ni yeye alimtuma!!!!!! Kikao ni cha kuomba msamaha kwa kuposti upupu uliomdhalilisha Mzee mamvi kwenye mtandao
Pole sana. Siku ukifiwa unapanga taratibu kutokana na mazingira na mahitaji yako/yenu wafiwa.Janja ya chadema ndio kwanza nasikia kikao kikubwa kama cha kamati kuu ya chama cha siku moja kinaahorishwa sababu ya msiba wa MTU ambaye kafariki ambaye si kiongozi wa Chadema ni ndugu wa mwanachadema.Kwa hiyo ndugu wa viongozi wa chadema watakuwa wakiahirisha hata mkutano mkuu wa uchaguzi? Kwa nini huo msiba usingesubiri kikao cha kamati kuu kiishe?.
Kuliko wale waloenda kupiga kura ndioo?Na kweli wanatafuta njia ya kuhalarisha kutafuna ruzuku