Recent content by Domchick

  1. D

    Kwa miongo ulioishi Duniani umejifunza nini?

    1.Uhai unadanganya Sana Kuwa Makini Na Matendo Yako Muda Wowote Unaondoka... 2.Unaishi Kwa Kuwaangalia Watu Na Sio Vile Wewe Unatakiwa Kuishi Umri Ukienda Ndio Unakuja Kugundua Maisha Ni Yako Na Sio Kwaajili Ya Wengine Kwahiyo Ishi Maisha Yako... 3.Watu Wengi Hawajui Maana Ya Mafanikio...
  2. D

    Naomba ushauri kuhusu biashara yangu

    Hongera Kwa Kuanza Biashara Na Kuona Matokeo Chanya Kwenye Hio Biashara Yako... Umeeleza Vizuri Kabisa Namna Biashara Yako Ilivyokua Inakua Ila Kuna Jambo Haujaliweka Sawa Uwenda Ikawa Ndio Chanzo Cha Changamoto Zinazoendelea Kwasasa... Wahenga Wanasema "Kujua Chanzo Cha Tatizo Ni Tiba Pia"...
  3. D

    Kujihisi kuchelewa imefanya wengi wachague bila utulivu na hatimaye kujichelewesha zaidi

    Umenena maneno Mazuri yenye kufariji na kutupa utulivu sisi wapambanaji... Swala La Subra Limeimizwa Sana Ata Kwenye Maandiko Ya Dini Lengo Ni Kuzuia Ile Hali Ya Kujiona Umechelewa Zaidi Kuliko Wengine... Unaweza Watazama Wale Uliosoma Nao Darasa Moja Au Wale Uliozaliwa Nao Mwaka Mmoja Au Wale...
  4. D

    Toa riziki kwa wengine ili kuimarisha uhusiano mzuri kiroho

    Kadri unavyozidi kutoa Ndivyo unavyozidi Kuongeza Kipato... Tunashukuru Kwa Ushauri Wako Bora Kabisa MOLA AKUBARIKI KWA MANENO YAKO YENYE KUJENGA KWA WENYE KUELEWA NA KUFANYIA KAZI...🙏 NA WEWE UNAYESOMA UJUMBE HUU MWENYEZI MUNGU AKUFUNGULIE RIKIZI ILI UWE MIONGONI MWA WATOAJI NA SIO WAPOKEAJI...
  5. D

    Hivi hizi njemba zinazoiga iga biashara mna deal nazo vipi, mtu anakuja kufungua biashara kama yako pembeni yako

    Kwanza Nikupongeze Kwa Uthubutu Ulionao Katika Biashara Na Namna Ulivyofanya Utafiti Wa Biashara Yako Na Hatua Uliyoifikia Hadi Sasa... Kutokana Na Uvivu Wa Kufikiri Tulionao Watu Wengi Basi Tumekua Na Tabia Ya Kusubiri Wengine Waanze Halafu Na Sisi Tuige Yaani Hatuwezi Kuthubutu Mpaka Tuone...
  6. D

    Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Mada Yako Ni Nzuri Sana Tena Sana Kwasababu Ili Tatizo Halipo Kwako Peke Yako Ata Wale Ambao Wapo Kwenye Kazi Muda Mrefu Nao Wanaangaika Na Hii Changamoto Ya Pesa Kutojitosheleza Na Kujikuta Wanaishia Kwenye Madeni Ya Bank,Madeni Ya Watu Wa Karibu Na Madeni Ya Watu Wa Mtaani... "JAMBO LOLOTE...
  7. D

    Jinsi kilimo kilivyobadilisha maisha yangu

    Kuna vitu tunajifunza Kupitia Safari Yako ya Maisha...✍️✍️✍️
  8. D

    Fanya hivi kumfanya mteja anunue/avutiwe na bidhaa ama huduma yako

    Shukrani 🙏 Kwa elimu uliyoitoa ni Kubwa sana Tena sana... Jamii tuliyonayo kwasasa ni yenye kupenda vitu visivyo na maana ukiandika jambo la muhimu kama hili ni Wachache sana watakao kuwa na Jicho la kuona... Binafsi nimejifunza kitu kikubwa Sana Kupitia nakala Yako hii UBARIKIWE 🙏
  9. D

    Wajasiriamali wenzangu naomba ushauri kwenye hili

    Kwanza nikupongeze Kwa Subra na busara ulizonazo Kupitia maisha uliyonayo Kupitia wewe na wafanyakazi wako maana kumlipa mfanyakazi Ambaye yupo nje ya kazi mara nyingi imezoeleka sehemu za Ajira za serikalini ndio wanafanya hivyo...✍️ Ushauri wangu kwako ni kwamba...👇👇👇 👉 Point Yako Kubwa Ni...
  10. D

    Kuku wangu wa mayai wamegoma kutaga wanaelekea week ya 19

    Mambo vipi Ndugu... Wengi tumekua wasomaji na Tumejifunza mengi Kupitia Uzi huu.... Tunaamini Kupitia Safari Yako Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwako Mimi nilikua na maswali Machache tu... 👉Umejifunza Nini Kupitia Safari Yako hii yaani ni sababu zipi zimechangia kuchelewa kama ulivyodai...
  11. D

    Mkong'oto wanaotembezewa wastaafu wanaotumia mafao kuanzisha biashara ni funzo kwamba uzoefu ni muhimu, Biashara zinabuma stress zinawamaliza wazee !

    Sijawahi Kutoa Mawazo Kwenye Hii APP ila Kutokana Na Uzito Wa Huu Ujumbe Ngoja Niweke Neno...✍️ Asilimia Kubwa Tumejifunza Maisha Ya Wastaafu Kupitia Watu Wetu Wa Karibu Inaweza Kuwa Mzazi Wako Au Mzazi Wa Rafiki Yako Au Jirani Yako N.k...✍️ Mawazo Ya Wadau Ni Mazuri Ila Na Mimi Nitaorodhesha...
Back
Top Bottom