Recent content by Doly

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania natafuta-mwanamke-wa-maisha-miaka-24-28-a.html

    :heh:Mbona unapenda sana kutoa maelezo yaso na msingi sana mapenzi hayachagui kabila, dini elimu, rangi wala kitu kingine ila 2 kiangliwacho ni mapenzi ya dhati. ukichagua sana utaangukia pabaya ndugu :kev:
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kukosa mpangilio wa hedhi. Msaada tafadhali

    Nipo Songea ndugu yangu. But I'LL GONNA TO CONTACT YOU. KAZIZA FIELD ZILINIBANA KIASI KWAMBA NIKASHINDWA KUKUPIGIA. ILA AS SOON AS POSSIBLE NTAKUCHECK ASANTE
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kukosa mpangilio wa hedhi. Msaada tafadhali

    Asante kwa kunijali tatizo ni 1 mimi sipo dar nipo mkoani, sijui hiyo semina nitaipataje. Pole wa kukuchosha.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kukosa mpangilio wa hedhi. Msaada tafadhali

    Asante nashukuru kwa ushauri wako nitatendea kazi. Lakini nilishawahi kwenda hospitali hadi za rufaa ila wakanambia nina uzazi mwingi hivyo endapo nikipata mtoto haya yote yataisha, ikanilazimu niwe mpole hadi nilipotimiza miaka 25 nikapata ujauzito na hatimaye nikafankiwa kupata mtoto wa kiume...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kukosa mpangilio wa hedhi. Msaada tafadhali

    Asante sana kwa maelezo mazuri. Nitajitahidi kutumia bidhaa hizo na pia nitakupigia. Nashukuru sana
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kukosa mpangilio wa hedhi. Msaada tafadhali

    nina umri wa miaka 31, tatizo langu limeanza pindi tu navunja ungo nikimaanisha kwamba kwamara ya kwanza ilikuwa siku 2 nikakaa siku 14 nikapata tena kwa siku 7 na hali ikawa ni hiy mara nakaa hata miezi miwili then napata kwa siku kuni na zaidi. halafu ikafika kipindi nikawa nakaa miezi sita...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kukosa mpangilio wa hedhi. Msaada tafadhali

    ndiyo ninaye mmoja
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kuosa mpangilio wa hedhi msaada tafadhali

    Hongera kwa majukumu na pole kwa uchovu wa wikiend. Mie ni mwanamke wa miaka thelathini na mmjo 31). Nimevunja ungo nikiwa na umri wa miaka 16 na nikiwa kidato cha tatu. Sasa tangu nivunje ungo sina kabisa mpangilio mzuri kwani inafika wakati nakaa hata miezi sita bila kupata hedhi, na kuna...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kukosa mpangilio wa hedhi. Msaada tafadhali

    nINI CHANZO CHA KUWA NA MPANGILIO USIO RASMI KATK HEDHI?
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli Ndoa yataka Moyo.....

    mdada ndoa hujengwa na wawili. Kaeni pamoja mjadili kinyume na hapo ndoa inaweza kuwa chungu. Kwani huyo mdada c rafiki mwema bali nji m2 mbaya kwenu na hasa kwako
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya hili

    Yes he is
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya hili

    Yaani hata kama uikiwa na matatizo hawi responsible hata kwa ushauri na mengine mengi
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mwanamke ambaye yuko tayri kuwa na mahusiano na hata kufunga ndoa,,

    Jamani hata cv yako haipo na sifa za umpendaye haujaweka tutajuaje kama uko serious kija. mmmmmmmmmmmmmmh ina walakini
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya hili

    Habarini wana JF wote. Naombeni mnisaidie hili laniumiza moyo sana. Mie ni mdada wa miaka 30. Nilishawahi kuwa na mpenzi nikampenda sana tena sana hadi ikafika wakati nikazaa naye mtoto mmoja. Kutokana na matendo na ishara npatazo kwake nimeshindwa vumilia japo ananisumbua sana inafika hata...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Hatarini Kusimamishwa kuhudhuria Bungeni

    mh wanawasha moto kwenye nyasi kavu hao!
Back
Top Bottom