1. Utangulizi
Wakristo mara nyingi hudai kwamba Mtume Muhammad ﷺ alipokutana na Jibril pangoni Hira hakuwa malaika bali shetani. Hoja yao hutokana na simulizi kwamba Mtume aliingiwa na hofu kubwa.
Lakini hoja hii haiko sawa, kwa sababu hata katika Biblia na mafundisho ya Kikristo, kuna mambo...
sema wanawake wa siku hizi wana tia wanaume laana sana. ukweli unajulikana siku zote. majukumu ya mke katika familia ni makubwa sana japo siwezi kulinganisha na mali. ila kitu cha msingi ni kimoja tu. Huyo mke alitoa mchango gani wa maendeleo yako? maana mchango mwengine hauwezi pimwa kwa macho...
Dah maskini umeongea maneno mengi yasiyo na ushahidi sasa nitakuwa nawajibu kwa kupiga maswali.
Aliye kudanganya uislam umeletwa na Mohammad SAW nani? Unajua maana ya neno uislam?
Kuhusu kabla ya kuzaliwa mtume Mohammad SAW waarabu walikuwa wana abudu miungu au masanamu hujakosea. Kwani nani...
unasema sababu za kijinga alafu huna hoja hata moja ya kutetea. hayo yote nilio andika yana ushahidi na yapo kwenye kitabu chenu.
Ni vema kama utanipinga basi na utoe andiko lakini unacho kazani ni kusema hoja za kijinga. haya hoja zenye ukweli ni zipi.
bisha na hoja. kama huna hoja tulia
Sasa wewe niku ulize swali jepesi sana. unajua maana ya kumslimisha mtu?
Yesu ana fuata imani za mababu zake ambao wao walikuwa waislam. Hakubatizwa wala kubatiza mtu yeyote. Je unadhani muislam gani amebatizwa au kubatiza mtu?
kuhusu Petro sijui ila ukweli ni kwamba kasome kuhusu uislam ujue...
UISLAM, sababu zifuatazo.
Yesu hakula nguruwe
alifunga na kusali kama waislam
alisali kwa kumuoba Mungu wake tu
akikosea alitubu kwa kumuomba Mungu wake msamaha
hakubatizwa
hakuchora tatoo wala kutoboa masikio wala pua
haku abudu masanamu
alivaa kanzu
Naomba nikujibu vizuri maelezo yako. Unajua uislam ni historia ya mitume pia. Hii kitu inafuata lineage ya damu. Hawa watu wanaopigana huko Israel na Palestina wana uhusiano wa kindugu lakini kilicho fanyika ni siasa ya uhuni.
Kwanini hutaki kuamini kwamba uislam hauja letwa na mtume Mohammad...
Kama unataka laana na upotee fanya ujinga uone
Binti wa watu amekuzalia mtoto
Anaishi na wewe huja muoa
Umeharibu usichana wake waziwa yasha shuka chini majukumu ya mtoto umemuachia.
Leo hii una taka kumuacha.
Angekuwa dada yako anafanyiwa hivi ungefurahi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.