Recent content by Dokta M

  1. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli Vs. Lowassa, nani zaidi katika Utekelezaji?

    Tishio na kutokuwa tishio inategemea na utendaji wa Rais kwa kutimiza Ahadi alizotoa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kama hata IGP Mwema ni mbumbumbu wa sheria za nchi, basi nchi hii kwisha kazi yake!

    Katika maelezo ya TOPIC yako wapi IGP anasema mje mkate kibali polisi, tuonyeshe ili tupate kuchangia, au umetafsiri bila ya mlalamikiwa kusema?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Gari la Polisi kujaza mafuta katika makampuni binafsi ni rushwa au ufinyu wa bajeti?

    Gari la Polisi kujaza mafuta katika makampuni binafsi sio ishu, ishu ni utekelezaji wa majukumu yake hii ni kwasababu hata jeshi la wananchi nalo pia linajaza mafuta katika kampuni binafsi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania IGP aibiwa upanga wa dhahabu

    Nakuunga mkono KATI2 hii ni kwasababu kwanini chanzo sijakiona au chanzo ni mwananchi ndie aliepewa haki miliki ya kutangaza upoteaji huo peke yake bila ya msemaji wa jeshi la polisi na kwenye magazeti mengine sijaona. Jee kunauhakika gani wa jambo hili? kama kweli umeibiwa msemaji atueleze la...
  5. D

    JamiiForums Tanzania IGP Mwema ameibiwa upanga wa dhahabu wa kilo tatu

    Kwanini chanzo sijakiona au chanzo ni mwananchi ndie aliepewa haki miliki ya kutangaza upoteaji huo peke yake bila ya msemaji wa jeshi la polisi na kwenye magazeti mengine sijaona. Jee kunauhakika gani wa jambo hili? kama kweli umeibiwa msemaji atueleze la sivyo mwandishi atwambie chanzo...
  6. D

    JamiiForums Tanzania IGP aibiwa upanga wa dhahabu

    Nakuunga mkono KATI2 hii ni kwasababu kwanini chanzo sijakiona au chanzo ni mwananchi ndie aliepewa haki miliki ya kutangaza upoteaji huo peke yake bila ya msemaji wa jeshi la polisi na kwenye magazeti mengine sijaona. Jee kunauhakika gani wa jambo hili? kama kweli umeibiwa msemaji atueleze la...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wajibu wangu raia

    WAJIBU WANGU RAIA Kuwa raia Muungwana(Responsible citizen) kwa kutekeleza wajibu wako na kudai haki zako ukifuata sheria na taratibu zilizowekwa, mamlaka husika serikalini itakusikiliza. Lakini unapovunja taratibu angalia kulia na kushoto polisi wapo kwa nia ya kuhakikisha amani na utulivu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wajibu wangu raia

    WAJIBU WANGU RAIA Kuwa raia Muungwana(Responsible citizen) kwa kutekeleza wajibu wako na kudai haki zako ukifuata sheria na taratibu zilizowekwa, mamlaka husika serikalini itakusikiliza. Lakini unapovunja taratibu angalia kulia na kushoto polisi wapo kwa nia ya kuhakikisha amani na...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tv Zanzibar. Mawaidha mengine yapimeni

    Ndio maana unakosea hata kuandika
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tv Zanzibar. Mawaidha mengine yapimeni

    Umetumia lugha gani mbona sio kiswahili au unazua tu kumzulia mtoaji mawaidha.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

    Kama ushahidi upo kwanini kesi isahauliwe, hata kama wao watafungwa atasimamia mtu mwengine ili haki itendeke na sifikirii vyombo vya habari vitakaa kimya kwasababu ya kukamatwa kwa baadhi ya viongozi.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Revealed!! CHADEMA ilitumia mitambo maalum ya DVR kurekodi mkutano wa tarehe 15/06/2013

    DVR Ni kifaa kichotuma kurikodi kupitia kamera, Hakuna DVR yenye angle 360 bali kamera ndizo zenye angle. Napongeza kwa ushahidi mlionao kama mtaupeleka kwa polisi au mahkama ya kimataifa basi na sisi tuwekeeni kwenye mtandao ili tuuone uo unyama tunaoambiwa unafanywa na polisi ili tuamini na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Revealed!! CHADEMA ilitumia mitambo maalum ya DVR kurekodi mkutano wa tarehe 15/06/2013

    Unaonekana hukunisoma vizuri, niliandika aipeleke polisi au apeleke popote anapohisi panafaa mfano ICC au kwenye umoja wa mataifa, uwe mtu mzuri wa kumsoma mtu haraka.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Revealed!! CHADEMA ilitumia mitambo maalum ya DVR kurekodi mkutano wa tarehe 15/06/2013

    Hongera kwa kuboresha jinsi ya kurikodi lakini Kwanini wasiwasilishe vielelezo kwa polisi au sehemu ambayo haki tunahisi itatendeka ili wachukuliwe hatua watuhumiwa kuliko kulaumu jeshi la polisi kwamba wao ndio waliofanya uhalifu huo. Hii itasaidia kujua zaidi kwamba hao watu wametumwa au wana...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kuwa raia Muungwana(Responsible citizen)

    Kuwa raia Muungwana(Responsible citizen) kwa kutekeleza wajibu wako na kudai haki zako ukifuata sheria na taratibu zilizowekwa, mamlaka husika serikalini itakusikiliza. Lakini unapovunja taratibu kulia na kushoto, angalia! polisi wapo kwa nia ya kuhakikisha amani na utulivu kwa manufaa ya...
Back
Top Bottom