Recent content by Dogo Lao

  1. Dogo Lao

    Umuhimu au faida ya kutokuwepo upinzani kutaonekana miaka 5 ijayo

    Na ashukuriwe Mungu muumba mbingu na nchi, Ndg. zangu wana JF, Asalamualeykhum. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa rehema zake na wema wake hata tumeweza kuiona siku ya leo. Ndugu zangu, sote tunajua jinsi mchakato wa uchaguzi unavyokuwa mgumu. Siyo kwa wagombea tu, bali hata kwa...
  2. Dogo Lao

    Uchaguzi 2020 NEC imecheza ngoma ya Tundu Lissu. Je, Wagombea walioenguliwa Ubunge Tume itawarudisha?

    Hata tukiutumia mtazamo huu, bado tume imejiweka pabaya. Watanzania hawana muda wa kusoma maelezo na vifungu kama ulivyofafanua. Ni kwa kutumia mwanya huo TL anaonekana bingwa kwasababu alifafanua kifungu kwa kifungu na wananchi wakamwelewa. Ili kujibu hoja hizi na kueleweka kwa umma Tume...
  3. Dogo Lao

    Ijue tofauti ya Kupita bila Kupingwa na Kupitishwa bila kupingwa kwenye Uchaguzi

    Salaam. Labda mimi sielewi bado dhana ya wagombea kupita bila kupingwa. Mpaka sasa sijasikia mpinzani aliyepitishwa na tume bila kupingwa. Hii ndio kusema faults zinafanywa na upinzani tu ktk ujazaji wa form hadi kurudisha? Naomba kueleweshwa. Asante.
  4. Dogo Lao

    Magufuli hao wasaidizi wako huenda wanakudanganya. Hupendwi sana na Wananchi

    Umenena vema sana. Na ili kuthibitisha hili namuomba mh. Rais ajiulize tu; kama kweli viongozi anaowateua na kuwaamini wanampa taarifa sahihi mbona kila akipita humo mikoani wananchi wanalia shida na kero ambazo zilipaswa kutatuliwa na mawaziri wake, wakuu wa mikoa au wakuu wa wilaya?? Ina maana...
  5. Dogo Lao

    Uchaguzi 2020 Makosa ya Lissu yanaweza kutumiwa na CCM kumzidi kete kisiasa

    Mtoa mada nakushukuru kwa uzi sahihi wakati sahihi. TL atumie taswira ya wajumbe hasa wa CCM ndipo atapata picha kamili ya wahamasishaji wa wapiga kura ktk ngazi za wananchi wa kawaida. Ni hivi: mambo anayojaribu kuyafafanua mh. Lisu ni ya msingi na ukweli mtupu. Lakini si mepesi kueleweka kwa...
  6. Dogo Lao

    Waziri Jaffo: Nitawashawishi wenzangu tukubaliane mji wa Mtumba uliopo katika jiji la Dodoma uitwe Dkt. Magufuli City

    Kuna homa imeingia kwa wanasiasa, maana haya makelele yote yanasikika kutoka kwa wanasiasa. Sijui ni: hofu ya majina yao kukatwa wakati wa kura za maoni? - Au hofu ya kukosa teuzi za madaraka pindi wakichaguliwa??
  7. Dogo Lao

    Kusema hakuna mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya Dkt. Magufuli ni kukosa akili

    Hii inamaanisha mambo yafuatayo: 1. CCM imeshindwa kuwatengeneza viongozi wapya ktk kipindi chote cha utawala wao kama wanavyokuwa wakijigamba; maana hata huyu wanayemsifia anasema alikuwa ana 'beep' tu, kwa maneno mengine hakuandaliwa wala siyo zao la mfumo wa chama. 2. Kati ya wanachama zaidi...
  8. Dogo Lao

    Historia ipo kututukumbusha mengi, kiburi hakisaidii

    Tusidanganyane, kwa wanahistoria wanafahamu kuwa Neo Colonialism ni mfumo halisi ulioratibiwa kimkakati ili nchi za Africa ziendelee kutawaliwa. Uhuru wa bendera uliotolewa ulikuwa ni wa makusudi kabisa, lakini uchumi na masuala mengine uhuru huo HATUNA! Na hakuna mnanja wa kujitoa kwenye mfumo...
  9. Dogo Lao

    Hili janga litapita, lakini tuchukue hatua madhubuti

    Kwa sasa tunajua kuwa Dunia nzima tunapita katika mtihani mkubwa wa ugonjwa wa COVID_19. Kila nchi inahangaika kutafuta majibu ya changamoto hii. Mashirika ya kiserikali na asasi za kiraia zinajitahidi katika kutoa maelekezo na kupendekeza mbinu mbali mbali za kujikinga. Nchini kwetu kama...
  10. Dogo Lao

    Ningekuwa na maamuzi ndani ya chama, CCM tungecheza hv Ngoma ya viongozi wa CHADEMA kuswekwa ndani, na tunge score point 3 muhimu!

    Sasa nimeanza kuelewa umuhimu wa Nape, Kinana, Membe na Jr Makamba ktk awamu ya nne!
  11. Dogo Lao

    DPP: Bado naitafakari hukumu ya Viongozi wa CHADEMA, naweza kukata rufaa

    Hawa ndio wanaomharibia mh. Rais hawa🤔
  12. Dogo Lao

    Naibu waziri wa Marekani (T.Nagy) asikitishwa na hukumu ya kina Mbowe, asema Serikali ya Tanzania ni wanafiki

    Suala la Democracy and human right it is not a state concern, it is a global concern. Najaribu kuwaza tu, wajuvi wa mambo watanisahihisha.
  13. Dogo Lao

    Tunaota demokrasia hatujui ni ipi tunataka tusije kutaka demokrasia ya kuuana kama wenzetu

    1. Raia wa Libya hawakuwa wanauawa na kupotea kusikojulikana 2. Raia wa Libya hawakutekwa na kupigwa risasi bila ya watuhumiwa kukamatwa na kuchukuliwa hatua kali. 3. Libya ilikuwa haionei raia wake 4. Libya wafanyakazi walilindwa na kupata heshima bila kudhalilishwa wala kunyanyaswa. 5. Libya...
Back
Top Bottom