Recent content by dog 1

  1. dog 1

    Kama Jamii ni hatua gani tunachukua kuhusu uozo ulioandikwa na Eric Kabendera

    Kwa hiyo hii ndio mbinu mnatumia kutangaza kitabu hicho? Siku zote kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza. Hayati Magufuli atabaki kipenzi cha wazalendo na watanzania wote. Nyie wapinzani badala ya kujenga hoja na kukua kisiasa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao mmebaki kugombana na marehemu...
  2. dog 1

    Rais Samia athibitisha mmoja kugundulika na maambukizi ya virusi vya Marburg nchini

    Haongelei undani wa ugonjwa, anaongelea tamko lililotolewa.
  3. dog 1

    VIDEO: Joseph 'Prof Jay' Haule akihudhuria kikao cha baraza kuu CHADEMA

    Mbona mimi hawajanigharamia? Waache ubaguzi
  4. dog 1

    Boniface Jacobi, an intelligent person who turned into a sycophant

    Siasa uchwara hizi. Mleta mada nani kakuambia Mbowe hataki kustaafu? Katiba ya chama inasemaje kuhusu ukomo wa madaraka? Je, hakuna uchaguzi? Kwa kweli mimi nitasimama na Mbowe katika siasa za CHADEMA. Katiba inamruhusu na haki anayo. Kama wanachama wamemchoka wamuangushe ktk sanduku la kura...
  5. dog 1

    Uhamisho wa wakazi wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda wapendekezwa na timu ya maridhiano ya kusitisha vita ili kuikarabati Gaza

    Wakiondoka gaza ndio kwaheri. Palestina yote itakuwa mali ya Israel rasmi
  6. dog 1

    Bila Mbowe mbona Chadema itajifia!

    Bora chama kife kikiwa chini ya wapenda mabadiliko chanya kuliko chama kiendelee kudumaa chini ya mtu aliyeshupaza shingo.
  7. dog 1

    SHINYANGA MJINI: Mkutano Mkuu Jimbo la Shinyanga Mjini wamkataa Mbowe Uenyekiti wasema siasa za sasa zinamkataa Mbowe na kumkubali Lissu

    Siasa za hovyo kabisa. Sanduku la kura lipo na ndio mwamuzi. Halafu wanajiita chama cha demokrasia!
  8. dog 1

    Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

    Ulishawahi kusex na dem anayevuta fegi au ugoro? Aisee wale viumbe wanajua kunyanduana. Jaribu utakuja kunishukuru
  9. dog 1

    Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

    Mlikwishaambiwa kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
  10. dog 1

    Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

    Hahaahaaaa! Legend atabaki legend tu. Wabaya wanajaribu kuzika legancy kila siku lakini wapi! Legend hakuwahi kushindwa.... Miaka 20 anashinda ubunge, mara mbili anashinda uraisi, kafa anawashinda wafitini. Hadi leo mnajaribu kuua jina lake lakini hata jina linawashinda. Hovyo kabisa
  11. dog 1

    Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

    Erick Kabendera ndio reference yako? mawazo yake ni yake, kama unamwamini ni wewe usitake nasisi tuamini. Hata wewe ungeweza kuandika kitabu kama yeye tu.
  12. dog 1

    Kwanini matajiri wa China na Arab hawaasili (Adoption) watoto weusi kama Wazungu? Daah, God bless America

    Sio issue hiyo. Unaweza kunitajia waziri mweusi huko Ujerumani, uswis, Denmark, Hungary, urusi, Japan, Argentina, nk? Usiangalie China na uarabuni tu ukakengeuka. Marekani watu weusi waliingia kitambo sana, tena wazungu si asili yao huko. Ufaransa walikuwa ba policy yao inaitwa assimilation...
  13. dog 1

    Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

    Vp ulikuwa hausegirl wa mwenyekiti nini? Alianza kushinda ubunge, akashinda uraisi wa nchi na sasa anaendelea kuwashinda wanaopambana na maiti. Hakika huyu ni ASIYESHINDWA..
  14. dog 1

    Waandishi wa habari mnatukosea

    Ingependeza ungetaja na majina kabisa ili kunogesha. Siku hizi hakuna mwanahabari aliyesomea taaluma hiyo umkute anaropoka au kuleta mzaha redioni au kwenye TV. Wamejaa makanjanja tu zero brain. Fikiria eti zembwela nae mtangazaji! Ndio maana redio na TV nyingi matangazo yao sasa hivi ni...
  15. dog 1

    Tanzania watu wanaishi maisha magumu sana ila hawasemi wala kulalamika!

    Ulikuwa hulijui hilo? Hao unaowadharau wengine wana kipato na maisha ya juu zaidi yako. Ukizingatia umalaya ulikuwepo kitambo, umeukuta na utauacha. Zingatia hili katika maisha yako: WEWE HUTAWEZA KUBEBA HATA NUSU YA WANAYOYAPITIA..
Back
Top Bottom