Sijawahi kuona popote pale mtu afike
ngazi ya kuwa CEO halafu ghafla aseme
amechoka uboss, anataka kuwa
Messenger...Sijawahi...Nakushangaa
wewe kijana, Mungu amekupa
mwanamke mzuri tu,ana kila kitu,anakupenda,watu wanamtolea
macho hawampati,ila wewe unaenda
unacheat na Kinyamkera cha...