Recent content by DodomaTZ

  1. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kilio cha wananchi wa Kidemeni ni changamoto ya barabara, iyozuia mwendo wa maendeleo

    FATMA SULEIMAN PEMBA Kidemeni ni miongoni mwa vijiji vinavyopatikana katika Wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba , ambacho wanachanchi wake wanakilio cha uwepo wa baara bara ya uhakika na hivyo kudai yanadumaza maendeleo yao. Kwa miaka kadhaa sasa, Zanzibar imeendelea kushuhudia...
  2. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu Ado katika Ibada ya Jubilei ya Miaka 25 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Filbert Mhasi, Tunduru

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado ameshiriki Ibada ya Jubilei ya Miaka 25 ya Upadre ya Mhashamu Askofu Filbert Mhasi wa Jimbo Katoliki Tunduru Masasi iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa la Mtakatifu Xavery Tunduru, Agosti 23, 2026.
  3. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado alivyopokelewa Tunduru

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado amepokelewa kwa kishindo na shangwe kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika viwanja vya Baraza la Idd Tunduru Mjini, tarehe 23 Agosti 2026 kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Mkutano wa Bunge la Bajeti na kukusanya maoni kuelekea Mkutano wa Bunge ujao...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania HOJA Mzee aliyedai kudhurumiwa na TANROADS asema "Maisha yangu yako hatarini, napata vitisho, nisaidieni"

    https://www.youtube.com/watch?v=srhE7f5o9d0 Mkandarasi Owden Mwalyambi wa kampuni ya Ujenzi ya Ruhama Tripple Three Junior Engineering iliyejenga barabara ya Kawajense - Ugala - Mnyamasi iliyopo mkoa wa Katavi amesema anaidai kiasi cha Tsh milioni mia nane na TANROADS na kwamba ameshazunguka...
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Katambi, Kombo wakutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) Duniani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Mahmoud Thabit Kombo wamekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM),Amy Pope ambae ameongozana Mkurugenzi wa Kikanda wa Pembe ya Afrika Mashariki...
  6. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu hajaonekana Kizimkazi Festival, ziara zake nazo zimeyeyuka, nini kinaendelea?

    Kumeanza kuchangamka huko
  7. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania CBT na KCJE zieleze tani elfu 50 za salfa ya unga ziko wapi?

    Mnamo mwezi Aprili 2026 Umoja wa Pamoja wa Vyama Vikuu vya Korosho nchini (KCJE) na Bodi ya Korosho Tanzania walieleza kuwa wanatarajia kusambaza zaidi ya tani elfu 50 za Viuatilifu vya unga (Sulphur) msimu wa kilimo 2026/2027 kwa wakulima wa korosho nchini. Kwa mujibu wa taarifa ya pamoja...
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kimila wa ki-Maasai atoa wito wa kuwepo uwiano endelevu kati ya binadamu, mifugo na wanyamapori Ngorongoro

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO kilihitimishwa katika Kituo cha Maonesho cha BEXCO jijini Busan, Jamhuri ya Korea, Julai 29, 2026. Mkutano huo wa kihistoria wa siku 10 uliidhinisha jumla ya maamuzi 28 kuhusu maeneo mbalimbali ya urithi wa dunia, huku maeneo mapya 25...
  9. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Gari yangu haijawahi kutoka Dodoma, ila ina deni linaloonesha ilikamatwa Dar

    Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma. Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa...
  10. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Norway (Himanshu Gulati) akutana na Spika Zungu na Eric Shigongo, atembelea Serengeti National Park

    Mbunge wa nchini Norway, Himanshu Gulati ametembelea nchini Tanzania na kupata nafasi ya kukutana na Wanasiasa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo. Akielezea...
  11. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania NIDA yakabidhi kiasi cha TZS 61,053,535,363 Serikalini kwa maendeleo ya Wananchi

    Dar es Salaam, 1 Julai 2026 Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa tarehe 30 Juni 2026, imekabidhi Serikalini mchango wa TZS 61,053,535,363 ikiwa ni fedha za makusanyo yake katika kuunga mkono jitihada za Serikali ya Jamuhuriy a Muungano wa...
  12. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe amshukuru Rais Samia kwa kuwapatia gari la wagonjwa Lushoto, Mwenge wa Uhuru wakalikabidhi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia wananchi wa Wilaya ya Lushoto Gari la kuhudumia wagonjwa katika Hospitali ya Wilaya hiyo, ambalo limekabidhiwa kwa...
  13. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Omary Sukari: Geita ina kiwango kikubwa cha uzazi hiyo inafanya uzazi wa mpango kuwa kipaumbele kikubwa

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita (RMO), Dkt. Omary Sukari, alieleza jinsi mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) ulivyosaidia mkoa huo katika kuboresha mifumo ya takwimu na utoaji wa huduma za uzazi wa mpango. Haya ndiyo mambo makuu aliyoyazungumza Juni 18, 2026 Jijini Dodoma: 1. Mafunzo na...
  14. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dkt. Jairy Khanga: Mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) umefika katika vituo 74 Mkoani Kilimanjaro

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Jairy Khanga ameeleza kwa kina kuhusu utekelezwaji wa Mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) Programme katika mkoa wake. Alibainisha maeneo yaliyofikiwa, changamoto zilizojitokeza, na mikakati ya kuzikabili. Hapa kuna mambo makuu aliyozungumza: 1...
  15. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema huduma zilizotolewa katika Mradi wa Kupanua Huduma za Uzazi wa Mpango (SuFP) zitaendelea kutolewa nchini

    Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
Back
Top Bottom