Recent content by dodomacity

  1. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa DG wa TAKUKURU

    DG hamduni saidia kufyeka ofisi yako hapa bukoba, huyu John Joseph kazi yake ni rushwa akishirikiana na wafanyakazi waliotajwa. Tunaamua wakati mwingine kuwataja huku kwani tukikutumia email hamjibu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa DG wa TAKUKURU

    Kamanda heshima yako, Napenda kukufahamisha kuwa tumekutumia email ya malalamiko dhidi ya maofisa wako wanajihusisha na vitendo vya rushwa. Email hii tuliyokutumia tumetumia dgeneral@pccb.go.tz. Tumeona tukutumie ujumbe kupitia jf hapa kwani tunaamini wewe unapitia hapa lakini pia uenda hiyo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi wakati Ufaransa hii inaitoa nishai Italy Euro 2000

    Hapo mkuu nilikuwa f4 na demu wangu alikuwa anaitwa Klevina
  4. D

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Kesho ndiyo kesho, Mama Samia anakalia kiti chamani. Wanaopanga kumkwamisha tumejipanga kuwakwamisha

    Haya bwana mpeni u-chair ilimradi vyama viruhusiwe kufanya mikutano. Mwendazake akifufuka leo atakufa kesho yake kwani uenda akamkuta Mbowe jukwaani akimnanga
Back
Top Bottom