Habari. Nina nyumba ina vyumba vitatu vta kulala, dining, siting room na public toilet. Nahitaji fundi anayeweza Kuikarabati iwe ya kisasa kidogo maana lengo langu ni kupata master na jiko moja upande mwingine anitengenezee master jiko na sebule kama itawezekana. Ahsante. Eneo liko Dar es...
Hii naogopa sana maan unajikuta wanachukua nyumba yako japo rent za kule chumba jiko sebule na choo tu si chini ya 400,000 ukiipaweka vizuri nikiwa nazo japo nne si haba
Au niwe nanunua vifaa vya ujenzi kidogo kidogo kama tofali naweka hivyo mpaka nAmaliza niongee na fundi anipe total estimate za tofali, nondo sijui mchanga halafu nikipata hela nanunua kidogo kidogo si pia inawezekana?
Habari wana JF. niende straight kwenye mada. Nina kiwanja kina ukubwa wa sqmtr 405 maeneo ya mbezi beach goig upande wa juu. Ndani ya kiwanja kuna nyumba la zamani au niseme ni gofu sasa nilikua nataka kupaendeleza na pesa hiyo sina nafikiria niingie bank sababu ni sehemu ukipafanyia planning...
Ukithubutu kuhoji unaambia unakufuru
Thank god for technology and the Internet tulikua gizani sana wallahy sasa hivi hamna siri tena kila kitu kiko wazi
Tafuteni hii on YouTube ambayo ilizua mjadala "The Standars Narrative has holes in it" ilikua interview kati ya Sheikh Yasssir Qadhi na Muhammad Hijab hii interview ilivyofanyika yaani it caused an uproar na hii ikafanya ongezeko la apostate ndani ya Uislam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.