Recent content by Dodjo

  1. D

    Wanawake: Nini kinachopelekea kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    Kwaniii, binadamu cyo mnyama??? Root
  2. D

    Nimemtoa out kaja na marafiki zake watatu

    Haitakiwi kuwaambia. Kwani hawajitambui??? Alivowaacha solemba hadi na aliyemwita na kuwaachia na bili yake, ndo kafanya poa. Kwa dhana ya haki sawa nao wajipime kama wanaweza kutubeba sisi. MKUKI KWA NGURUWE****-KWA BINADAMU ni nomma!
  3. D

    Nimemtoa out kaja na marafiki zake watatu

    jean phillipe beyun hahahaha ha haaaa! Umenifurahisha na hyo escape from sobibo. Usiwapgope hawa bidada***-uwe jasiri***-ivo ivo kama ulivo-escape....na cku ingne akijitokeza mwingne muachie manyoya. UNENITAMANISHA SANA!
  4. D

    Wanawake kupelekwa getto sio dili, komaa na Lodge

    Yote tisa mkuu@Joel. Unayotaka/kupenda wew, wengne wengi hawayapendi/wapo kinyume na wew. Na wanayotaka/kupenda kina-Lara 1, nyie kina Joel mko kinyume chake. Lakn wote ni jamii moja. Tofauti zetu kofikra na kichocheo cha mabadiliko/maendeleo/chachu ya ulimwengu. Tafuta suluhu***-kuishi ni chuki...
  5. D

    Wanawake kupelekwa getto sio dili, komaa na Lodge

    ha ha ha haaaa! Acheka mim. Mpaka ataka mma! Kumbe huwa unakuwa standby eeh! IKO CKU ISIYO NA JINA UTAUVAGAA MZINGA WA NYUKI. Mi ctak kuwa shahidi. Lakn najua za mwiz ni 40. Na ndege mjanja****-hunasa kwenye tobo bovu mwajei wa Ukweeeli.
  6. D

    Wanawake kupelekwa getto sio dili, komaa na Lodge

    Me naona Amii yuko poa tu.Coz anawahutumia wateja wahitaji. Bila kina Amii, hawa wanawaje/wadada wapenda hb watakwenda kukodi hb za kijaluo Kenya kam Wamama wa ki-Rombo. Kina Amii fanyeni mamboz. Na vile ni wachumi,***-mnanifurahisha sana.
  7. D

    Wanawake kupelekwa getto sio dili, komaa na Lodge

    Hawapotoshi mkuu@Amanijua. Lara 1, anawahabarisha yaliyomo yamo. Akili ni nywele**--kila mtu ana zake. Lara moko kawapa mbivu na mbichi***-kuamua ni kipenda roho. Pita njia uipendayo baada ya kupata ABC yake*
  8. D

    Hii ni dharau au mazoea?

    ha ha ha ha ha! Achekesha mm weye. Wewe mkuu luckyline ungekuwa ni she wake huyo jamaa na wote weny kufkiri hivyo***--angelazwa mahututi muhimbili aysee! Me napenda dem mwenye changamoto...maana nafurahia kuzipanchi.
  9. D

    Kwanini ni ngumu kwa mke mwenye Degree kuolewa na class 7, tofauti na wanaume wasomi?

    Akitaka haki sawa kwa mpango wa sheria....kwamba hataki kuwa mtiifu kwako, mpe haki yake akaishi peke yake. Sio lazma umuoe huyo anayetaka pasu kwa pasu, mbona hatua zote mpaka unamleta kwako hamjafanya pasu kwa pasu??? Mchukue wa level ya chini....utapenda na kufurahia maisha. Vyovyote...
  10. D

    Hii ni dharau au mazoea?

    Kama ni hivyo..., mrudishe zizini huyo ni mwana mpotevu***-ila ni kama bado unamhitaji. Uwezo wa kufanya hivyo unao. La, kama na wew umemchokaaa, muache aende zake***-hutajilaumu. Barabara ni pana, twaweza kupishana tu...maadamu tu-wahitaji.
  11. D

    Hii ni dharau au mazoea?

    Ni ishara ya machafuko ya mawasiliano yenu kama siyo mazoea yenu.
  12. D

    Kwanini ni ngumu kwa mke mwenye Degree kuolewa na class 7, tofauti na wanaume wasomi?

    Mwanamke kukuzidi ki-elimu ama ki-mapato kusikufanye uwe bwe×ge na na kuamini kuwa umekuwa dhaifu kwake. Mwana-ume ni jina lenye sifa kuu. Hivyo kiumbe wa kiume unatakiwa kuishi ki-shujaa kam Mungu mwenye nguvu. Umepewa uwezo wa kuvitawala vyote uvionavyo kwa macho na akili yako. Kama wanaume...
  13. D

    Kwanini ni ngumu kwa mke mwenye Degree kuolewa na class 7, tofauti na wanaume wasomi?

    UPE=Universal Primary Education.....au.... ni Ualimu Pasipo Elimu??? Je, fasiri yangu hiyo yenye swali ni sahihi mkuu???@Elungata.
  14. D

    Homa kwa aina hii ya mwanaume

    Aisifiaye mvua..............!!!???Keshaliwa tayari. Anaomba marudio. Ukiona manyoya, ujue..........!!!!
  15. D

    Homa kwa aina hii ya mwanaume

    Ok, vema. Lakn cna ugomvi nanyi, kusoma ni kuelewa. Smart boy yeyote hu-keep time...na mambo yake ni acording to his plan. Wapo smart boy-shalo shalo, wametega nyavu kam ulivotega nyavu zako wew, utakapogundua kosa lako...tayari umeckia harufu ya uvundo. Swala ni usalama wako..ndo iwe...
Back
Top Bottom