Recent content by documented

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, yale magari uliyoenda nayo Rwanda vipi?

    Uko sahihi mkuu..ikulu ndo zina magari yake ndo ambayo raisi hutumia akiwa ziarani mikoani
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida za kuvaa soksi wakati wa kufanya mapenzi

    ..mnapiga game huku nmevaa soksi Na viatu.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ben Pol anyoa ndevu kuogopa kuitwa Al-Qaeda na Wamarekani

    Huu nao ni Uzi?,,,wanaume wa dar katika ubora
  4. D

    JamiiForums Tanzania Baraka da Prince amtambulisha Naj nyumbani

    Kumbe ndoa ni shimo? Aiseeh!!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Jamani eeh, ninaombeni msaada wa haraka

    Hahaa dah...muache Ila usije lia
  6. D

    JamiiForums Tanzania Jamani eeh, ninaombeni msaada wa haraka

    ..moja usifanye maamuzi ukiwa Na hasira..pili usimuache ikiwa unahisi moyo wako bado unamuhitaji Na tatu kaeni chini Na huyo mpnz umwambie nini kinakusumbua Na ukishamckia bac fanya maamuzi.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nawaza kwa sauti: Magufuli anapoioona hii picha hivi leo anajisikiaje?

    Yes uko sahihi...alifanya akiwa timamu Na akijua nini anafanya..pia hili lilimsaidia ku-win attention za watu ndo mana ata wewe unalikumbuka
  8. D

    JamiiForums Tanzania Jide: Sijampiga kijembe Gadner

    Haha there you are!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu anakoelekea siko

    Hahahahahaaa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Salama Jabir utaolewa lini?

    Sawa nauchukia
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu anakoelekea siko

  12. D

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu anakoelekea siko

    Tumia kiswahili ..ona sasa ah
  13. D

    JamiiForums Tanzania Salama Jabir utaolewa lini?

    Kati ya mikoa naichukia kuishi ni dar...mji mchafu,joto kali,foleni ndo usiseme..japo unaraha zake nyingi tu
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu 7 hatari ambazo hupaswi kufanya ngono

    Vichakani ni maeneo hatarishi sana..kuna jamaa anafanya shughuli za mazao ko alikuwa porini huko..cku kabanwa na kubwa bac aende kujisaidia ..sasa ile kavua nguo kachuchumaa anasema alitokea nyoka aina ya kifutu alimfukuza ..jamaa anasema nyoka alikuwa na speed hatari kilichomsaidia akafika...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume hivi mkoje? Mnaomba namba kila mtu, mnakera sana

    Hahahahahaaa.. Dah umenichekesha
Back
Top Bottom