Recent content by dnali

  1. dnali

    Rais Kikwete iga mfano wa Uhuru Kenyata mapambano dhidi ya madawa ya kulevya

    we ni mtanzania kweli? au umetoka sayari ya mars? unauliza zinaenda wapi si ndio hizo hizo zipo mitaani?
  2. dnali

    Ugonjwa wa Ebola walipuka Congo DRC (Ebola outbreak: DR Congo confirms two deaths)

    It is not the first time Ebola kulipuka Congo na inaonekana wanaweza kuicontain all the time, I don't know why west Africa wasijifunze kutoka Congo wanafanyaje mpaka wanaidhibiti? mi naamini hata this time utasikia imedhibitiwa tu huko Congo, hofu yangu ni itakapoingia hapa kwetu bongo hapo...
  3. dnali

    lipe jina vazi hili

    veggie dress
  4. dnali

    Natafuta baba mlezi

    Kwa sisi waafrika mtoto ni muhimu sana ndio maana hatuna utamaduni wa kuadopt watoto yaani hata kama mtu ni maskini vipi lakini anataka mtoto wake amlee mwenyewe, sijajua una hali mbaya kiasi gani mpaka uone kama huna uwezo wa kumlea huyo mtoto kama una uwezo wa kuwa na access na internet mpaka...
Back
Top Bottom