Recent content by DNA

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hapana, hapana UKAWA mnaipeleka nchi pabaya

    Issue sio CHADEMA wala UKAWA. Ukweli ni kuwa CCM inatumia Vyombo vya Serikali Kisiasa, na madhara yake ni hayo. Wataipasua hii nchi hao watu. Inaonyesha wazi CCM mwaka huu imepasuka na itatumia the last possible resource kubaki madarakani.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli na ikulu

    kajisemea Mwapachu Maneja na Kiongozi. Jamaa kazoea Kukariri tu Ma Benzene na Hydrochloric acid. Pale hamna strategist; yaani presidential material :majani7:
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Timu ya Kubwabwaja:dance:Imekula Kwao. Hadi Lusinde Wa Escrow....Hawa jamaa wameshachoka..
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Ubaya zaidi anatumia Maji yanavyobadilika from barafu (Solid) to maji (fluid) to Hewa ya Oxygen na Hydrogen (Gases) hapo change inatakoe (NA WASIWASI SANA NA BACKGROUND YAKE KWENYE SCIENCE I HEARD ALIPATA ZERO FROM SIX). You can't have TRANSFORMATION BILA CHANGES. NA HAO CCM HAWAWEZI KUTULETEA...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Pembe za ndovu za zaidi ya Sh Milioni 800 toka Dar zakamatwa Uswisi

    Shameful................
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ndugai kufikishwa mahakamani kwa kosa la kumpiga Dk. Joseph Chilongani, atishia kujitoa CCM...

    Nani amekuambia tunamtaka huyo "Nduguyaccm" huku UKAWA?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    SI UNIT:A S-rap:
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ahojiwa masaa matatu na TAKUKURU

    Yaani ccm ni shida... Kweli hamna kupigia kura hawa
  9. D

    JamiiForums Tanzania Jenister Mhagama: Rais Kikwete hatovunja Bunge leo Tarehe 9 Julai, 2015

    Nchi hii kuvunja katiba imeshazoeleka Viongozi wetu wameshazoea kuivunja katiba kwa kuelewa au kutoelewa wanafanya Hivyo.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Piga kura juu ya hili: Je wanachokifanya wabunge wa vyama vya upinzani ni sahihi?

    Mungu atusaidie kwa jinsi Bunge lilivyoendeshwa jioni hii ni dhahiri kuwa hawa watu wamefikia Point of no return ya Ubabe... :hand::hand::hand::hand:
  11. D

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    Jamani naona hawa ni for, 6 leavers kuna mtu ana information kuhusu sisi diploma au equivalent?
  12. D

    JamiiForums Tanzania kwa wale waliopata chuo

    Hongereni sana
  13. D

    JamiiForums Tanzania kwa wale waliopata chuo

    Samahani jamani kwa wale mliopata chuoo mmepangiwa selection ya ngap mliocahagua?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nacte mnazingua

    Hata mimi nashangaa jamanii! Mwenye information yeyote kuhusu sisi diploma mtujulishe jamani
  15. D

    JamiiForums Tanzania TCU selections are OUT!!

    Jamani mtusaidie na sisi ambao ni equivalent au diploma? Tunafanyaje? Hongereni mliopata
Back
Top Bottom