Recent content by DMussa

  1. DMussa

    UTEUZI: Abdul-Razaq Badru Mkurugenzi Mkuu mpya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Kwa hiyo leo dereva haendi kumchukua CPA Kashimba? World is a cruel place to live jamani! Daah
  2. DMussa

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Pics hizi hapa...
  3. DMussa

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Duh, hapana chief. Hii naiuza coz nimefanya device upgrade.
  4. DMussa

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Duh... hiyo hapana. Thx
  5. DMussa

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Hapana mkuu, haitoshi
  6. DMussa

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung A6+ 2018, imetumika mwezi mmoja tu. Bei Tshs 700,000.
  7. DMussa

    Sababu za kutokwenda Davos Switzerland hazina mashiko

    Kwa majibu ya hivi kweli Trump akiita nchi zetu shithole countries tunahitaji kulalamika? When did we become so defensive?
  8. DMussa

    NHC imemteua Ndg. Felix Manyama Maagi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo

    Kwa iyo huyu mtu hajafanyiwa vetting ila ndio ivo amestep kwenye nafasi hiyo?
  9. DMussa

    NHC imemteua Ndg. Felix Manyama Maagi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo

    Tanzania full vituko. Hii bodi kwani ilikuwa na majina tayari wakawa wanasubiri Mchechu asimamishwe ili wamteue? Na kwa nini wamteue kukaimu na sio kuwa Mkurugenzi mkuu? Wanataka awe puppet?
  10. DMussa

    Wewe unatumia mbinu gani kudhibiti muda /time management?

    Tumia muda mwingi kucheza game na kuingia mitandao ya kijamii... utaona mabadiliko
  11. DMussa

    Zitto: Tume ya Bunge haijawahi kukaa kujadili uteuzi wa Katibu wa Bunge. Rais Magufuli amevunja Sheria!

    It always start with petty issues, ignoring them will not make them go away. And by the way they are politicians so doing politics is and has always been part of their DNA. Don't blame them...
  12. DMussa

    Nakukumbusha tu mwanaume mwenzangu

    Kila mtu apambane na hali yake!
  13. DMussa

    Natafuta fundi mzuri wa iphones 6 aliyeko Arusha

    Mbona povu mkuu? Mwenye post kaomba kuelekezwa namna ya kupata fundi Arusha! Wewe umekuja na lawama tu... kwani lazima kuposti??
  14. DMussa

    Aliyemshauri Rais aende kwenye uzinduzi badala ya kuaga miili ya askari alikosea sana

    Duh!!! Haya majibu ni rasmi au? Mbona kama povu [emoji848][emoji848]
Back
Top Bottom