Recent content by dmayola

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dodoma vs Thika

    That's true
  2. D

    JamiiForums Tanzania Professor Kitila Mkumbo slams Ministers Ummy and Kigwangala

    hii ndio sharia iliyotumika na Serikali kuchukua uamuzi huo. Alitakiwa kuwasiliana na Serikali kupitia wizara ya Afya ili Serikali nayo ione kama upo umuhimu na pia ijipange Kwa ajili ya kukabiliana na tatizo. Pia kuangalia na ukubwa wa tatizo lenyewe.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Jaji Utamwa wa Escrow Kusikiliza Kesi ya Kafulila ya Kupinga Matokeo ya Uchaguzi leo hii

    Hapo jaji anaset manati
  4. D

    JamiiForums Tanzania Lema maji ya shingo Arusha

    umetumwa pepo ushindwe na Ulegee. Huna jipya chini ya jua.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nani kalipia muda wa maongezi wa Kingunge N. Mwiru?

    Kwanza mkutano wenyewe na waandishi wahabari kafanyia nyumbani kwake na sio ukumbini kama alivyofanya msaliti Slaa mzee wa kulala kwenye gari. Pili kifo cha mtikila sio kwamba yeye Mtikila alikuwa na expire date kwamba muda wake wa kufa ulikua haujafika. Hiyo ni ajali kama ajalia nyingine. Kwa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mwl. Nyerere aliwahi kusema ni hatari sana kuwa na kiongozi anayamini ya mkewe. Mnakubaliana jambo kisha akienda kulala na mkewe kesho kaja na jingingine. Huyu Mzee ni majanga.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Msaliti ni msaliti tu. Kama alikua anayataka mageuzi na ndio tunakoelekea yeye anajitoa baso ni wazi huyu mzee nae alikuwa na uchu wa madaraka tu. Hata kama angepambana na Magufuli asingeweza kumshinda. Tayari alishakua nje ya lkwa muda mrefu. Akapumzike tu aendelee kula hako kabilioni 7 kake...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Lowassa, ni binafsi au toka Serikalini?

    anatoka kikosi cha usalama barabarani
  9. D

    JamiiForums Tanzania Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

    Devid Mosha kuchukua jimbo la Moshi mjini ni sawa na ndoto ya MGAMBO KUWA POLISI. Sisi ndio tuliozaliwa Moshi na kukulia Moshi. Kama unataka kuijua Moshi vizuri muulize Mama Minde. Alifaziliwa na shemeji yake Ben Mkapa akiwa Rais wakati huo. pamoja na kumwaga hela nyingi lakini alikuanguakia...
  10. D

    JamiiForums Tanzania "Muogope kama ukoma" vs "Aatapata nje ya CCM"

    Tulia tulia kijana usihahe kama unakunya mlangoni. Ngoma inogile.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Jahazi la Magufuli katika Social network limepigwa na dhoruba linazama na kudhalilika

    Anaitwa "JOHN ALCOHOL MAPADLOCK"
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa kesi ya ufisadi wa Richmond wakamilika, wahusika kupelekwa mahakamani

    Siku zote wanaanzisha kesi na mara zote wanaangukia pua. Angalia kesi ya Zombe.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Huu usajili kupitia dirisha dogo unaofanywa na MACCM unachekesaha sana. Eti Letisia Nyerere, Halfi wote hao ni majeruhi hawana jipya kabisaaaa. Mziki uko hapo kwa Edo (EL). Subiria muziki wake hapo kesho.
Back
Top Bottom