Asante sana mtoa mada kwa uzi wako wa kuwatahadharisha boda na bajaj lakin pia hata sisi wenye magari pia tunapaswa kuzingatia sheria maana hata sisi pia ni visababish vya ajali maana, mfano mzuri siku moja niliona niingie mjin kwa toyo nikashangaa watu wa magari hawapo makini wanaovertake ovyo...
Habari mwanajamvi
Kwa pikipiki ambayo yaweza kufaa kwa biasharaya boda boda na matumizi kama matembezi yako ambayo unaweza kuitumia bila stress yoyote ile Haojue x press 125 na TVS hlx 125 kwa sababu hazina fuel consuption kubwa
Kwa pikipiki yenye nguvu kwa mizigo jaribu sinoray 180.6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.