Mkuu mbona kichwa cha habar kimeelza vzur kuwa n mke wako ila naona umegeuza kibao kwa mtu mwngne, ila n kwamba me nahs vtu viwili
1;huenda tabia hyo alkuwa nayo tangia zaman hvyo inamuwia ugumu kuiacha.
2; halidhiki na namna unamvyotimiza wajibu wako
Naona mnachukua vtu vdogo tu ilu kutoa hitimsho pa uongoz mbaya,sjui yale mazur mnayaona ama hamuyaon???? Kila kitu mathalan maswala ya uongoz kuna uimara wake na udhaifu wake katka shabaha ya maendeleo.Msiendeshwe na itikad zenu wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.