Mkuu 5L ni engine yenye pulling zaidi ya 3L, na ukiziangalia zinaingiliana kwa mengi. 5L inakutaka uwe mtu wa service sana na haitaki shida kwa kuishiwa ishiwa maji.....3L ni roho ya paka mkuu. Nilitumia 5L...kwa safari ndefu utaifurahia na ukiimatch vizuri na diff ya high afu utembee long...
Ndugu wana Jamvi,
Heri ya Mwaka mpya 2017.
Nimechimba kisima chenye urefu wa mita 80 na kufanikiwa kupata maji mengi tu. Tatizo nililo nalo ni kwamba maji haya yana chumvi nyingi sana kiasi kwamba huwezi kutumia kwa kuyanywa bali hufulia nguo na kuosha vyombo ama kusafishia nyumba.
Nachohitaji...
Habari kwenu Madaktari na Wataalam wa Magonjwa ya ngozi....Dermatologist.
Nimekuwa nikihangaika kwa muda sasa na chunusi (Acne) usoni na hata shingoni hadi kifuani. Nakumbuka kuwahi pata matibabu huko mikoani lakini hali ya mapele haijawahi kuisha...na kwa sasa kwa kuwa nimehamia Dar yapata 2...
Boss, sio kwamba mafunzo haya lazima yawe contained ndani ya mwezi 1 tu...hapana...nimesema december hii waanze kwa sbb wapo likizo na hivyo kupata siku nyingi za kuwafunza. Pili baadae wanapofungua shule, tutaangalia namna ya kutumia weekends. Ki-ujumla ninachohitaji ni kuwaweka fiti tu...sio...
Ndo maana nikasema tutaona maendeleo yao...ikilazimu hata watapofungua shule basi tutaendelea na ratiba for weekends....thanks for your concern though...!
Salaam,
Ninahitaji mtu anayejua karate vyema ili anifundishie vijana wangu aged 7 & 12.
Hii ni katika kuwaweka fiti ili mtu akiwazingua huko mashuleni ama popote waweze kujitetea vyema.
Self defense nimeona iwe muhimu sana kuwa installed kwa wanangu. Hivyo iwapo wewe ni mkufunzi mzuri, naomba...
Mkuu nimeangalia gharama ninayoifikishia hapa na hali halisi ya gari pia. Sina haja kucheza na km ndo maana nikamwambia gari bado iko ktk hali nzuri sana kulingana na specs zake. Sasa wewe unataka niuze M5? Si nishasema nauza 8.5M final na kama hafiki bei sina ugomvi na mtu, ntatumia na ikifika...
Hapana mkuu...check specs zake na uingie tradecarview mwenyewe afu njoo tuongee. Ingekuwa ishatumika hadi km laki sawa....hv vigari vidogo injini zake ndogo so kuwa makini kwa kuangalia kishapiga mzigo kiasi gani.
Wabongo kwa kukatishana tamaa hatujambo...yaani usha-judge kabisa lol. Anyway hujawahi ona bidhaa ile ile inauzwa bei tofauti madukani? Basi hii kama hatopatikana wa hio bei...nitaitumia kwa biashara hadi ifike km 90,000 na ntakuuuzieni kwa M7 au 6.7 na hapo ishaniingizia za kutosha kwani sasa...
Hapana mkuu...Hii nimeagiza kwa ajili ya kuuza...najaribu kukuza mtaji. So nimefanya uchaguzi mzuri sana...chk km zilivyo...au ulitaka iwe km100,000? Ninataka kukuza mtaji. So ni kwa ajili ya biashara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.