Nauza Gari aina ya Toyota Passo kama maelezo ktk Picha yasemavyo....
View attachment 357038
View attachment 357038
Shilling ngapi?
Hapana mkuu...Hii nimeagiza kwa ajili ya kuuza...najaribu kukuza mtaji. So nimefanya uchaguzi mzuri sana...chk km zilivyo...au ulitaka iwe km100,000? Ninataka kukuza mtaji. So ni kwa ajili ya biashara.Nakupa 4.5 ni pm mkuu
Hapana, sichukui mkuu.Nakupa 5m
ushauri wako ni mzuri ila tu utapuuzwa kutokana na hilo li avator lako linatia kichefuchefu mnoo...Hii biashara yako itadoda.Kila mtu anaweza kuagiza gari na ikafika mkononi kwa gharama ya soko....Ila hii ya kutafuta faida tena kwa gari moja tu (Gari moja huwezi kupata discount) sidhani kama biashara yako itafika popote.
Hii biashara yako itadoda.Kila mtu anaweza kuagiza gari na ikafika mkononi kwa gharama ya soko....Ila hii ya kutafuta faida tena kwa gari moja tu (Gari moja huwezi kupata discount) sidhani kama biashara yako itafika popote.
kaka 7 vp
Kaka kilometer isiwe ndio strong base yako ya kushawishi au bei kuwa juu. Kuna wataalam wanazirudisha hata ukitaka iwe zero km. Cha muhimu ni kuangalia gharama ulizotumia na faida unayotaraji kupata
mkuu unalo moja tu, sasa ukiuza ..utauza nn badaye?Mkuu nimeangalia gharama ninayoifikishia hapa na hali halisi ya gari pia. Sina haja kucheza na km ndo maana nikamwambia gari bado iko ktk hali nzuri sana kulingana na specs zake. Sasa wewe unataka niuze M5? Si nishasema nauza 8.5M final na kama hafiki bei sina ugomvi na mtu, ntatumia na ikifika km laki ntauza kwa hiyo 6.7 to 7M. Ila kwa sasa siwezi uza chini ya hiyo 8.5M....kama una chini ya hiyo, samahani kwa kweli.
kwakweli wabongo noma,ukiona hivo broo ujue hakuna mnunuaji!hata hela ya baiskeli hawana..Tsh 8,500,000
mkuu unalo moja tu, sasa ukiuza ..utauza nn badaye?